Jibu ni rahisi mtu wako wa karibu ndio anakujua vizuri. Adui yako wa mbali hawezi kukufikia bila kupitia kwa rafiki yalo wa karibu.
“Kikulacho ki nguoni mwako”
Huyu mbunge amekuwa akinifikirisha kwa hoja zake hasa katika sekta ya Elimu. Ninajifunza kuwa kwa namna unavyopanda daraja la kiellimu ndivyo unavyojitenga na natural intellegence na kuongeza artificial intellegence.
Mfumo wa Elimu yetu ni wa kucopy na kupaste ila hauzingatii context...
Mkuu nina mengi ya kusema kuhusu bandiko lako lakini sioni sababu ya kufanya hivyo kwa sababu zifuatazo:
1. Humaanishi unachokisema
2. Huna nia njema na nchi yetu
3. Una roho ya ubaguzi iliyopitiliza
Ushauri: Kwa faida yako soma kitabu kinaitwa ‘Behind the presidential curtain” kimeandikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.