Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwa naweletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni kuhusu dhana ya kitu kinachoitwa "Life after Life", ambapo najikita kwenye maswali haya Je, wajua kuwa Magufuli, japo kimwili hatuko naye, lakini kiroho huko alipo, bado yuko hai, na kwa kutumia macho ya roho, anayaona mambo yote yanayoendelea kwenye Tanzania yake? Je, hiki tunachokifanya kwa wale aliowapenda, are we doing him right?. Na kama ni viongozi waliofanya uovu kipindi cha awamo ya tano, wako wengi, je tuendelee kuwashughulikia kwa double standards ya kutumia mfumo wa cherry picking kwa kuchagua baadhi tuu wa kushughulikia na wengine kuwa spered, au tuiachie karma ndio iwashughulikie? kwasababu kwenye karma, hakuna mswalie Mtume, kila jiwe litapinduliwa!.

Muumini wa Karma na After Life
Naomba kuanza kwa kujitambulisha kuwa mimi sio tuu ni muumini wa karma, pia ni muumini wa life after life. Hivyo rais Magufuli japo ametutoka na hatupo nae, ametutoka kimwili tuu, lakini kiroho bado tuko nae, na huko alipo anayaona yote yanayoendelea baada ya yeye kutangulia, na anaona jinsi mnavyowatenda baadhi ya viongozi vipenzi wake kwa kuwa persecute kwa kuwa prosecute, na kuwadhalilisha, Jee huku ndiko kumuenzi? Suppose yeye angekuwepo, Ole Sabaya angetendwa alivyo tendwa majuzi?. Mjue Magufuli huko aliko bado yupo na anaona yote tunavyowatenda watu watu, asije akakasirika na akamlilia Mungu, watu wengine wakaitwa!.

Mimi na utetezi za haki za binaadamu, nilipigania adhabu ya kifo ifutwe, hata wahalifu wanastahi kutendewa haki na dignity!
Naomba kujitanabaisha kuwa mimi ni mtetezi huru wa haki za binaadamu, na kwenye gazeti la Nipashe la kila Jumapili ninaandika makala za utetezi wa haki za binaadamu, japo siungi mkono matendo kihalifu ya uhalifu wowote, ukiwemo uhalifu wa Ole Sabaya, lakini siungi mkono udhalilishaji wa aina yoyote anaofanyanywa na polisi, magereza, mahakamani na vyombo vya uchunguzi, jeshi la polisi, vyombo vya uchunguzi, ofisi ya DPP, na vyombo vya utoaji haki, mahakama, mfano jana pale Mahakamani, ameletwa huku amefungwa pingu, as if ni kibaka! Kama haitoshi, akachuchumalishwa as if kumzuia asitoroke!. Huu ni udhalilishaji, huyu ni mmoja wa viongozi vipenzi wa JPM. Kabla hajateuliwa DC, alikuwa anakabiliwa na kesi ya jinai kujifanya TISS, JPM akamteua, ikabidi hiyo kesi ife. Kwa vile kuna ahadi ya kumuenzi JPM, then tumuenzi kama ukipenda boga, penda na ua lake, na ukitupa jongoo, usitupe na mti wake!, kama tulimpenda JPM, na tukaahidi kumuenzi, then tuwapende na aliowapenda, hivyo Ole Sabaya, awe treated with dignity huku tukikumbuka kuwa Magufuli anayaona yote tunavyowatenda viongozi vijana wake!.

Life after life: Mwili wa nyama ndio unakufa na kugeuka mvumbi, mwili wa roho, haufi, na unaishi milele, hivyo Magufuli yupo na anaona yote!

Uhai ni nini na kifo ni nini?

Mwili wa binadamu una sehemu kuu mbili, mwili na roho. Sehemu ya kwanza ni huu mwili wa nyama, ambao umeumbwa kwa mavumbi, na siku ukifa, kinachokufa ni mwili huu wa nyama, unazikwa kaburini, humo ndani unaoza na kurudi kuwa mavumbi. Sehemu ya pili ya mwili ni roho, uhai hii ni pumzi Mungu aliyoipulizia kwenye ule udongo hivyo mwili kupata uhai. Hii ni Roho ya Mungu, the spiritual body, the astral body, mwili wa nyama unapokufa, roho haifi, bali roho huacha mwili na kurudi kwa Mungu. Hivyo kifo ni kitendo cha roho kuacha mwili, kukata roho.

Je, baada ya kifo, hiyo Roho inakwenda kuishi wapi?
Kama ulivyo mwili una sehemu mbili ya mwili na roho, mwili wa nyama na mwili wa roho, vivyo hivyo dunia ina sehemu mbili, Ulimwengu wa Kidunia, the physical world, na Ulimwengu wa Roho, the Spiritual World, mtu akifa, roho ikiacha mwili, mwili unabaki kwenye ulimwengu wa dunia, unazikwa unaoza na kugeuka kuwa mavumbi, Roho inakwenda kwenye ulimwengu wa Roho kuendeleo kuishi milele, being mbinguni, peponi, kuzimu, toharani, au jehanum kwenye moto wa milele, hii subject nyingine lakini roho hazifi kwa sababu roho ni Mungu. Hivyo mwili huo wa roho, unaona kila kitu kinachoendelea hapa duniani.

Ufufuko wa miili na uzima wa milele, miili itakayo fufuliwa ni miili ya roho, ile miili ya nyama ikiisha zikwa, that is the end
Wakristu tunaamini Yesu alikufa, Yesu alifufuka na Atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu, ambapo kutatokea ufufuko wa miili na uzima wa milele, miili itakayohusika kwenye ufufuko wa miili ni miili ya roho na sio miili ya nyama. Hivyo Magufuli yupo na anaona kila kitu!

Je, kwenye ahadi ya kumuenzi Magufuli tumuenzi kwa yote au tuchague mazuri tu?
Kwavile rais Magufuli hakuwa malaika, alikuwa ni binadamu, hivyo ana mazuri yake, na pia ana mabaya yake ya kibianadamu kama binaadamu mwingine yoyote, hakuna aliye mkamilifu, hivyo tumuenzi Magufuli kwa mema na mazuri yake kwa kuyaendeleza, halafu yale ya kibinaadamu, tumuachie mwenyewe, tuwe tumzika nayo siku ile pale Chato na tusiyazungumzie ili kuepuka kumzungumzia vibaya marehemu, hivyo tuyaepuke ili kumuacha marehemu apumzike kwa amani.

Baada ya Bwana Yesu kufa kwa mateso ya kusulubiwa na kifo msalabani, wanafunzi wake walijifungia kwa kuhofia na wao kusulubiwa, ndivyo ilivyo kwa Magufuli
Vivyo hivyo baada ya kifo cha Magufuli, kuna baadhi ya watu walilia kwa mengi wakiwemo wamachinga, Magufuli aliwaruhusu kufanya biashara popote, matokeo yake kwenye baadhi ya maeneo sasa ni balaa!. Siku Wamachinga wakiondolewa, watalia tena na kumkumbuka Magufuli, na wao pia watauliza kama kufukuzwa kwao ndiko kumuenzi Magufuli?. Ili kuwaelimisha watu wa aina hii, ni lazima waelimishwe kuwa Magufuli ataenziwa kwa mazuri tuu, hili la kuwaruhusu machinga kufanyabiashara popote, sii miongoni mwa mazuri ya kuenziwa.

Vivyo hivyo kwenye wateule wa JPM, kuna baadhi ya viongozi Magufuli aliwapenda sana, matokeo yake wakavimba vichwa, wakajiona kama miungu watu, wanaweza kufanya lolote na wasifanywe chochote, na hawakuamini kama Magufuli naye ni binadamu tuu, leo yupo, kesho anaweza asiwepo, au anaweza kufa. Mmoja wa wa watu hawa ni Ole Sabaya, siku ya mazishi ya Magufuli, mmoja kati ya waliolia sana ni Ole Sabaya, inawezekana alilia kwa mengi, uchungu wa kufiwa na mtu unaempenda sana, au wasiwasi wa nini kitampata baada ya nguzo na egemeo lake kuanguka, ndio maana mkamuona akifanya juhudi kubwa, ikiwemo kwenda Clouds kujisafisha, but very unfortunately, haukusaidia!.

Viongozi wahalifu kipindi chaAwamu ya Tano ni wengi, sio Sabaya pekee. Kama tumeamua kushughulika nao, tuwashughulikie wote
Kwenye awamu ya Tano, viongozi waliotenda mambo ya ajabu ajabu ni wengi, sio Ole Sabaya peke yake, kama awamu hii ya 6 ya Mama Samia, imeamua kuwashughulikia, then iwashughulikie wote. Tuache kufanya double standard ya cherry picking kuwashughulikia baadhi, wengine pia wapo na baadhi yao Mama Samia kaamua kuendelea kuwabeba mfano mzuri ni RC mmoja alimuamuru RPC wake kuwa namna ya kupunguza msongamano magerezani, ni kuwapiga risasi papo hapo vibaka wote, na kujiproud kwa ushujaa wake jinsi alivyo muua kibaka kwa kumpiga risasi mbili za kichwa na kumuua papo hapo, kisha akajipongeza kwa kunywa bia mbili!

Kwa vile kuna viongozi Rais Magufuli aliwapenda, Rais Mama Samia halazimiki kuwapenda, ndio maana tangu Rais Samia alipoingia tu, ameanza vizuri, mfano kitendo cha kuutengua uteuzi wa Dr. Bashiru kutoka Katibu Mkuu Kiongozi, na kumpa ubunge, ni demotion ya kistaarabu, mimi ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuupongeza uamuzi huo, nikazitolea pongezi zangu hewani kupitia Sauti ya Ujerumani na BBC Swahili.

Kwavile hili ni bandiko la life after life, yaani Magufuli huko aliko anayaona yote tunayawatendea aliowapenda, kama wakati wa Magufuli, sisi Watanzania, tuliwavumilia, na sasa wakati wa Samia, pia tuwavumilie, tusiwasulubishe kama alivyofanywa Sabaya, kitendo cha kutoteuliwa, kutoka mtu ulikuwa everthing, to nobody ni adhabu tosha, itoshe, kwasababu no one knows kwa sasa kule mbinguni Magufuli amepewa wadhifa gani, inawezekana yuko karibu sana na Mungu, hivyo akiona jinsi tunavyowatendea wale aliowapenda kama Sabaya, akakasirika na kumuomba Mungu, awaite baadhi ya watu!. Kama yeye mwenyewe aliweza kuitwa na sasa hayupo, then anyone anaweza kuitwa anytime, lets not risk viongozi wengine kuitwa. Hao waliofanya uovu, baada ya kutoteuliwa, tuiachie Karma iendelee kushughulika nao.

Nawaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kazi Iendelee.

Paskali
True said.
 
Pasco issue ya double standard ndio unaijua leo??

Walivyopotea kina Ben Saanane ,Azori Gwanda mbona hatukuona ukiomba haki itendeke??

Kina Erick Kabendera, Tito Magoti ,Theo Gyan ,Mdude Nyagali, Mzee Rugemalila ,Godbless Lema ,Joseph Mbilinyi na wengineo wengi walitendewa haki?

Uchafuzi wa box la kura last October ulikua ni aibu sana ila hukujali pesa iliyopotezwa huku mshindi akijulikana kabla ya uchaguzi na pesa za walipa kodi kupotea bila sababu...

Tundu Lissu kushambuliwa kwake mchana kweupe na kuvuliwa ubunge huku Spika akisema ni mtoro na waliopanga kumuombea wakapigwa chini achilia pesa tulizochanga Diaspora zikatokomea...

I think you should be ashamed of yourself ! Accept that you have lost your credibility and move on
 
Poti bana, ndo umeamka usingizi? Ndo umeandika vitu gani hivi.
 
Mbona ulikejeli Lissu kupigwa risasi kama kweli unatetea haki na utu wa watu wengine?

Pascal, you are trying to show us that you are a man of principle, but actually you are not.

In short, you are not objective and you will never be so. We know you very well.
As usual, Paskali anauma na kupulizia. Huku hayuko na kule hayuko. Anataka aonekane mwema kwa pande zote. Tunamwomba awe na msimamo thabiti. Hili la kuzunguka huku na huku pasipo kutoa msimamo unaoeleweka linatufanya tusikuamini kwa lolote.
 
Pascal again!
Hivi unatumiaga kilevi gani? Hebu kiache hicho kilevi kwani kinaharibu kabisa uwezo wako wa ujenzi wa hoja mahiri ulionao!
Mengi uliyoyaandika hapa huwezi kuyathibitisha popote kwani hayapo na ni unpredictable!
Double standard no! Usitake kuipangia mamlaka Nini la kufanya na wakati wa kufanya kwani Wana taratibu zao kulingana na miongozo waliyowekewa!
Hivyo acha kuziharakisha na kuzitisha mamlaka!
Sabaya kuwa scape goat no! Kwani mpaka asimamishwe kazi na kuchunguzwa zipo clues zisizoacha Shaka dhidi ya tuhuma alizo nazo. Na kutendewa vile pale mahakamani ni taratibu za kawaida kabisa za polisi na hata magereza Wana mtindo huo labda kama haijawahi kushtakiwa na kupelekwa magereza!
Nikushangae pia katika eneo Hilo na kukukumbusha kuwa hata kina Mbowe na Msigwa walichuchumalishwa kisutu na kule gerezani walivuliwa nguo na kubaki utupu kwani ndio utaratibu wa magereza na hukuwahi kuandika kusifu au kukemea kitendo hicho kinachoharibu haki na faragha ya mtuhumiwa! Napata mashaka na kujinasibu kwako kuwa nawe ni mtetezi wa haki za watu huku ukiwa upande wa sabaya kana kwamba wale wafungwa na mahabusu wengine siyo binadamu!
Unafiki wako na roho mbaya uliyonayo ambayo binafsi huwezi kuviona ndio karma yako na itakumaliza!
Nakushauri uwaombe msamaha wale wote uliowanenea na kuwachongea kwa mamlaka wakaadhibiwa pasi na kosa!
Na kama kweli roho za wafu zinaona nasi Ile roho ya yule mama Lavenders inakuona na kukuombea karma iwahi kukumaliza!
Mwisho, achana na siasa za makundi, kikanda na kikabila kwani huyo Magufuli siyo rais wa kwanza nchi hii na hakuna maajabu yoyote aliyoyafanya kuwazidi kina Nyerere!
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwa naweletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni kuhusu dhana ya kitu kinachoitwa "Life after Life", ambapo najikita kwenye maswali haya Je, wajua kuwa Magufuli, japo kimwili hatuko naye, lakini kiroho huko alipo, bado yuko hai, na kwa kutumia macho ya roho, anayaona mambo yote yanayoendelea kwenye Tanzania yake? Je, hiki tunachokifanya kwa wale aliowapenda, are we doing him right?. Na kama ni viongozi waliofanya uovu kipindi cha awamo ya tano, wako wengi, je tuendelee kuwashughulikia kwa double standards ya kutumia mfumo wa cherry picking kwa kuchagua baadhi tuu wa kushughulikia na wengine kuwa spered, au tuiachie karma ndio iwashughulikie? kwasababu kwenye karma, hakuna mswalie Mtume, kila jiwe litapinduliwa!.

Muumini wa Karma na After Life
Naomba kuanza kwa kujitambulisha kuwa mimi sio tuu ni muumini wa karma, pia ni muumini wa life after life. Hivyo rais Magufuli japo ametutoka na hatupo nae, ametutoka kimwili tuu, lakini kiroho bado tuko nae, na huko alipo anayaona yote yanayoendelea baada ya yeye kutangulia, na anaona jinsi mnavyowatenda baadhi ya viongozi vipenzi wake kwa kuwa persecute kwa kuwa prosecute, na kuwadhalilisha, Jee huku ndiko kumuenzi? Suppose yeye angekuwepo, Ole Sabaya angetendwa alivyo tendwa majuzi?. Mjue Magufuli huko aliko bado yupo na anaona yote tunavyowatenda watu watu, asije akakasirika na akamlilia Mungu, watu wengine wakaitwa!.

Mimi na utetezi za haki za binaadamu, nilipigania adhabu ya kifo ifutwe, hata wahalifu wanastahi kutendewa haki na dignity!
Naomba kujitanabaisha kuwa mimi ni mtetezi huru wa haki za binaadamu, na kwenye gazeti la Nipashe la kila Jumapili ninaandika makala za utetezi wa haki za binaadamu, japo siungi mkono matendo kihalifu ya uhalifu wowote, ukiwemo uhalifu wa Ole Sabaya, lakini siungi mkono udhalilishaji wa aina yoyote anaofanyanywa na polisi, magereza, mahakamani na vyombo vya uchunguzi, jeshi la polisi, vyombo vya uchunguzi, ofisi ya DPP, na vyombo vya utoaji haki, mahakama, mfano jana pale Mahakamani, ameletwa huku amefungwa pingu, as if ni kibaka! Kama haitoshi, akachuchumalishwa as if kumzuia asitoroke!. Huu ni udhalilishaji, huyu ni mmoja wa viongozi vipenzi wa JPM. Kabla hajateuliwa DC, alikuwa anakabiliwa na kesi ya jinai kujifanya TISS, JPM akamteua, ikabidi hiyo kesi ife. Kwa vile kuna ahadi ya kumuenzi JPM, then tumuenzi kama ukipenda boga, penda na ua lake, na ukitupa jongoo, usitupe na mti wake!, kama tulimpenda JPM, na tukaahidi kumuenzi, then tuwapende na aliowapenda, hivyo Ole Sabaya, awe treated with dignity huku tukikumbuka kuwa Magufuli anayaona yote tunavyowatenda viongozi vijana wake!.

Life after life: Mwili wa nyama ndio unakufa na kugeuka mvumbi, mwili wa roho, haufi, na unaishi milele, hivyo Magufuli yupo na anaona yote!

Uhai ni nini na kifo ni nini?

Mwili wa binadamu una sehemu kuu mbili, mwili na roho. Sehemu ya kwanza ni huu mwili wa nyama, ambao umeumbwa kwa mavumbi, na siku ukifa, kinachokufa ni mwili huu wa nyama, unazikwa kaburini, humo ndani unaoza na kurudi kuwa mavumbi. Sehemu ya pili ya mwili ni roho, uhai hii ni pumzi Mungu aliyoipulizia kwenye ule udongo hivyo mwili kupata uhai. Hii ni Roho ya Mungu, the spiritual body, the astral body, mwili wa nyama unapokufa, roho haifi, bali roho huacha mwili na kurudi kwa Mungu. Hivyo kifo ni kitendo cha roho kuacha mwili, kukata roho.

Je, baada ya kifo, hiyo Roho inakwenda kuishi wapi?
Kama ulivyo mwili una sehemu mbili ya mwili na roho, mwili wa nyama na mwili wa roho, vivyo hivyo dunia ina sehemu mbili, Ulimwengu wa Kidunia, the physical world, na Ulimwengu wa Roho, the Spiritual World, mtu akifa, roho ikiacha mwili, mwili unabaki kwenye ulimwengu wa dunia, unazikwa unaoza na kugeuka kuwa mavumbi, Roho inakwenda kwenye ulimwengu wa Roho kuendeleo kuishi milele, being mbinguni, peponi, kuzimu, toharani, au jehanum kwenye moto wa milele, hii subject nyingine lakini roho hazifi kwa sababu roho ni Mungu. Hivyo mwili huo wa roho, unaona kila kitu kinachoendelea hapa duniani.

Ufufuko wa miili na uzima wa milele, miili itakayo fufuliwa ni miili ya roho, ile miili ya nyama ikiisha zikwa, that is the end
Wakristu tunaamini Yesu alikufa, Yesu alifufuka na Atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu, ambapo kutatokea ufufuko wa miili na uzima wa milele, miili itakayohusika kwenye ufufuko wa miili ni miili ya roho na sio miili ya nyama. Hivyo Magufuli yupo na anaona kila kitu!

Je, kwenye ahadi ya kumuenzi Magufuli tumuenzi kwa yote au tuchague mazuri tu?
Kwavile rais Magufuli hakuwa malaika, alikuwa ni binadamu, hivyo ana mazuri yake, na pia ana mabaya yake ya kibianadamu kama binaadamu mwingine yoyote, hakuna aliye mkamilifu, hivyo tumuenzi Magufuli kwa mema na mazuri yake kwa kuyaendeleza, halafu yale ya kibinaadamu, tumuachie mwenyewe, tuwe tumzika nayo siku ile pale Chato na tusiyazungumzie ili kuepuka kumzungumzia vibaya marehemu, hivyo tuyaepuke ili kumuacha marehemu apumzike kwa amani.

Baada ya Bwana Yesu kufa kwa mateso ya kusulubiwa na kifo msalabani, wanafunzi wake walijifungia kwa kuhofia na wao kusulubiwa, ndivyo ilivyo kwa Magufuli
Vivyo hivyo baada ya kifo cha Magufuli, kuna baadhi ya watu walilia kwa mengi wakiwemo wamachinga, Magufuli aliwaruhusu kufanya biashara popote, matokeo yake kwenye baadhi ya maeneo sasa ni balaa!. Siku Wamachinga wakiondolewa, watalia tena na kumkumbuka Magufuli, na wao pia watauliza kama kufukuzwa kwao ndiko kumuenzi Magufuli?. Ili kuwaelimisha watu wa aina hii, ni lazima waelimishwe kuwa Magufuli ataenziwa kwa mazuri tuu, hili la kuwaruhusu machinga kufanyabiashara popote, sii miongoni mwa mazuri ya kuenziwa.

Vivyo hivyo kwenye wateule wa JPM, kuna baadhi ya viongozi Magufuli aliwapenda sana, matokeo yake wakavimba vichwa, wakajiona kama miungu watu, wanaweza kufanya lolote na wasifanywe chochote, na hawakuamini kama Magufuli naye ni binadamu tuu, leo yupo, kesho anaweza asiwepo, au anaweza kufa. Mmoja wa wa watu hawa ni Ole Sabaya, siku ya mazishi ya Magufuli, mmoja kati ya waliolia sana ni Ole Sabaya, inawezekana alilia kwa mengi, uchungu wa kufiwa na mtu unaempenda sana, au wasiwasi wa nini kitampata baada ya nguzo na egemeo lake kuanguka, ndio maana mkamuona akifanya juhudi kubwa, ikiwemo kwenda Clouds kujisafisha, but very unfortunately, haukusaidia!.

Viongozi wahalifu kipindi chaAwamu ya Tano ni wengi, sio Sabaya pekee. Kama tumeamua kushughulika nao, tuwashughulikie wote
Kwenye awamu ya Tano, viongozi waliotenda mambo ya ajabu ajabu ni wengi, sio Ole Sabaya peke yake, kama awamu hii ya 6 ya Mama Samia, imeamua kuwashughulikia, then iwashughulikie wote. Tuache kufanya double standard ya cherry picking kuwashughulikia baadhi, wengine pia wapo na baadhi yao Mama Samia kaamua kuendelea kuwabeba mfano mzuri ni RC mmoja alimuamuru RPC wake kuwa namna ya kupunguza msongamano magerezani, ni kuwapiga risasi papo hapo vibaka wote, na kujiproud kwa ushujaa wake jinsi alivyo muua kibaka kwa kumpiga risasi mbili za kichwa na kumuua papo hapo, kisha akajipongeza kwa kunywa bia mbili!

Ufufuko wa miili na uzima wa milele, miili itakayo fufuliwa ni miili ya roho, ile miili ya nyama ikiisha zikwa, that is the end
Kwa vile kuna viongozi Rais Magufuli aliwapenda, Rais Mama Samia halazimiki kuwapenda, ndio maana tangu Rais Samia alipoingia tu, ameanza vizuri, mfano kitendo cha kuutengua uteuzi wa Dr. Bashiru kutoka Katibu Mkuu Kiongozi, na kumpa ubunge, ni demotion ya kistaarabu, mimi ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuupongeza uamuzi huo, nikazitolea pongezi zangu hewani kupitia Sauti ya Ujerumani na BBC Swahili.

Kwavile hili ni bandiko la life after life, yaani Magufuli huko aliko anayaona yote tunayawatendea aliowapenda, kama wakati wa Magufuli, sisi Watanzania, tuliwavumilia, na sasa wakati wa Samia, pia tuwavumilie, tusiwasulubishe kama alivyofanywa Sabaya, kitendo cha kutoteuliwa, kutoka mtu ulikuwa everthing, to nobody ni adhabu tosha, itoshe, kwasababu no one knows kwa sasa kule mbinguni Magufuli amepewa wadhifa gani, inawezekana yuko karibu sana na Mungu, hivyo akiona jinsi tunavyowatendea wale aliowapenda kama Sabaya, akakasirika na kumuomba Mungu, awaite baadhi y a watu!. Kama yeye mwenyewe aliweza kuitwa na sasa hayupo, then anyone anaweza kuitwa anytime, lets not risk viongozi wengine kuitwa. Hao waliofanya uovu, baada ya kutoteuliwa, tuiachie Karma iendelee kushughulika nao.

Nawaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kazi Iendelee.

Paskali
Dikteta Magufuli hakuwa na Tanzania yake, kuna Tanzania ya watanzania. Marehemu yuko moyoni kwa uovu alioutenda akiwa hai
 
P.
Umeandika mengi sana. Unatamani ukaende huko alikoenda ukamweleze hayo maneno!
Nadhani ungelianza na kusema/kumwambia yeye na genge lake kuwa Kambarage Nyerere huko aliko anaona jinsi anayowafanyia aliokuwa anawaita wanyonge papo hapo unashtukia anaitisha mkoba. Nipatie Million kadhaa anamtunuku mtu!!.
Za kwake??
 
ndio maana hata ukiwateka mateka vitani unatakiwa uwape haki zao za kimateka hutakiwi kuwadhalilisha eti kwa kuwa alikuwa anapambana na wewe na ameua askari wenzako.
sheria za kimataifa zinakataza udhalilishaji, pia sheria zetu zinakataza kumdhalilisha mtuhumiwa, bado ni mtuhumiwa tu, bado hizo dhana unazo mdhania hazija thibitika, yawezekana ni uongo lkn pia inawezekana ni ukweli, hivyo kwa sasa asihukumiwe.
Sawa, lakini msitake exceptance yoyote, kama wenzake wanaoga na kupakwa mafuta, Kwanini mtu wenu awe treated with diginity, tofauti na wenzake?!
 
Mgufuli huko alipo anagalagala kwenye ziwa la moto akilia kwa majuto makuu. Mbaya zaidi anawaona wale alio watendea mabaya hadi wakafa wakila goodtime kwa raha zao.

Lazaro maskini na Tajiri Meko
22 Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.
23 Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.
24 Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwa naweletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni kuhusu dhana ya kitu kinachoitwa "Life after Life", ambapo najikita kwenye maswali haya Je, wajua kuwa Magufuli, japo kimwili hatuko naye, lakini kiroho huko alipo, bado yuko hai, na kwa kutumia macho ya roho, anayaona mambo yote yanayoendelea kwenye Tanzania yake? Je, hiki tunachokifanya kwa wale aliowapenda, are we doing him right?. Na kama ni viongozi waliofanya uovu kipindi cha awamo ya tano, wako wengi, je tuendelee kuwashughulikia kwa double standards ya kutumia mfumo wa cherry picking kwa kuchagua baadhi tuu wa kushughulikia na wengine kuwa spered, au tuiachie karma ndio iwashughulikie? kwasababu kwenye karma, hakuna mswalie Mtume, kila jiwe litapinduliwa!.

Muumini wa Karma na After Life
Naomba kuanza kwa kujitambulisha kuwa mimi sio tuu ni muumini wa karma, pia ni muumini wa life after life. Hivyo rais Magufuli japo ametutoka na hatupo nae, ametutoka kimwili tuu, lakini kiroho bado tuko nae, na huko alipo anayaona yote yanayoendelea baada ya yeye kutangulia, na anaona jinsi mnavyowatenda baadhi ya viongozi vipenzi wake kwa kuwa persecute kwa kuwa prosecute, na kuwadhalilisha, Jee huku ndiko kumuenzi? Suppose yeye angekuwepo, Ole Sabaya angetendwa alivyo tendwa majuzi?. Mjue Magufuli huko aliko bado yupo na anaona yote tunavyowatenda watu watu, asije akakasirika na akamlilia Mungu, watu wengine wakaitwa!.

Mimi na utetezi za haki za binaadamu, nilipigania adhabu ya kifo ifutwe, hata wahalifu wanastahi kutendewa haki na dignity!
Naomba kujitanabaisha kuwa mimi ni mtetezi huru wa haki za binaadamu, na kwenye gazeti la Nipashe la kila Jumapili ninaandika makala za utetezi wa haki za binaadamu, japo siungi mkono matendo kihalifu ya uhalifu wowote, ukiwemo uhalifu wa Ole Sabaya, lakini siungi mkono udhalilishaji wa aina yoyote anaofanyanywa na polisi, magereza, mahakamani na vyombo vya uchunguzi, jeshi la polisi, vyombo vya uchunguzi, ofisi ya DPP, na vyombo vya utoaji haki, mahakama, mfano jana pale Mahakamani, ameletwa huku amefungwa pingu, as if ni kibaka! Kama haitoshi, akachuchumalishwa as if kumzuia asitoroke!. Huu ni udhalilishaji, huyu ni mmoja wa viongozi vipenzi wa JPM. Kabla hajateuliwa DC, alikuwa anakabiliwa na kesi ya jinai kujifanya TISS, JPM akamteua, ikabidi hiyo kesi ife. Kwa vile kuna ahadi ya kumuenzi JPM, then tumuenzi kama ukipenda boga, penda na ua lake, na ukitupa jongoo, usitupe na mti wake!, kama tulimpenda JPM, na tukaahidi kumuenzi, then tuwapende na aliowapenda, hivyo Ole Sabaya, awe treated with dignity huku tukikumbuka kuwa Magufuli anayaona yote tunavyowatenda viongozi vijana wake!.

Life after life: Mwili wa nyama ndio unakufa na kugeuka mvumbi, mwili wa roho, haufi, na unaishi milele, hivyo Magufuli yupo na anaona yote!

Uhai ni nini na kifo ni nini?

Mwili wa binadamu una sehemu kuu mbili, mwili na roho. Sehemu ya kwanza ni huu mwili wa nyama, ambao umeumbwa kwa mavumbi, na siku ukifa, kinachokufa ni mwili huu wa nyama, unazikwa kaburini, humo ndani unaoza na kurudi kuwa mavumbi. Sehemu ya pili ya mwili ni roho, uhai hii ni pumzi Mungu aliyoipulizia kwenye ule udongo hivyo mwili kupata uhai. Hii ni Roho ya Mungu, the spiritual body, the astral body, mwili wa nyama unapokufa, roho haifi, bali roho huacha mwili na kurudi kwa Mungu. Hivyo kifo ni kitendo cha roho kuacha mwili, kukata roho.

Je, baada ya kifo, hiyo Roho inakwenda kuishi wapi?
Kama ulivyo mwili una sehemu mbili ya mwili na roho, mwili wa nyama na mwili wa roho, vivyo hivyo dunia ina sehemu mbili, Ulimwengu wa Kidunia, the physical world, na Ulimwengu wa Roho, the Spiritual World, mtu akifa, roho ikiacha mwili, mwili unabaki kwenye ulimwengu wa dunia, unazikwa unaoza na kugeuka kuwa mavumbi, Roho inakwenda kwenye ulimwengu wa Roho kuendeleo kuishi milele, being mbinguni, peponi, kuzimu, toharani, au jehanum kwenye moto wa milele, hii subject nyingine lakini roho hazifi kwa sababu roho ni Mungu. Hivyo mwili huo wa roho, unaona kila kitu kinachoendelea hapa duniani.

Ufufuko wa miili na uzima wa milele, miili itakayo fufuliwa ni miili ya roho, ile miili ya nyama ikiisha zikwa, that is the end
Wakristu tunaamini Yesu alikufa, Yesu alifufuka na Atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu, ambapo kutatokea ufufuko wa miili na uzima wa milele, miili itakayohusika kwenye ufufuko wa miili ni miili ya roho na sio miili ya nyama. Hivyo Magufuli yupo na anaona kila kitu!

Je, kwenye ahadi ya kumuenzi Magufuli tumuenzi kwa yote au tuchague mazuri tu?
Kwavile rais Magufuli hakuwa malaika, alikuwa ni binadamu, hivyo ana mazuri yake, na pia ana mabaya yake ya kibianadamu kama binaadamu mwingine yoyote, hakuna aliye mkamilifu, hivyo tumuenzi Magufuli kwa mema na mazuri yake kwa kuyaendeleza, halafu yale ya kibinaadamu, tumuachie mwenyewe, tuwe tumzika nayo siku ile pale Chato na tusiyazungumzie ili kuepuka kumzungumzia vibaya marehemu, hivyo tuyaepuke ili kumuacha marehemu apumzike kwa amani.

Baada ya Bwana Yesu kufa kwa mateso ya kusulubiwa na kifo msalabani, wanafunzi wake walijifungia kwa kuhofia na wao kusulubiwa, ndivyo ilivyo kwa Magufuli
Vivyo hivyo baada ya kifo cha Magufuli, kuna baadhi ya watu walilia kwa mengi wakiwemo wamachinga, Magufuli aliwaruhusu kufanya biashara popote, matokeo yake kwenye baadhi ya maeneo sasa ni balaa!. Siku Wamachinga wakiondolewa, watalia tena na kumkumbuka Magufuli, na wao pia watauliza kama kufukuzwa kwao ndiko kumuenzi Magufuli?. Ili kuwaelimisha watu wa aina hii, ni lazima waelimishwe kuwa Magufuli ataenziwa kwa mazuri tuu, hili la kuwaruhusu machinga kufanyabiashara popote, sii miongoni mwa mazuri ya kuenziwa.

Vivyo hivyo kwenye wateule wa JPM, kuna baadhi ya viongozi Magufuli aliwapenda sana, matokeo yake wakavimba vichwa, wakajiona kama miungu watu, wanaweza kufanya lolote na wasifanywe chochote, na hawakuamini kama Magufuli naye ni binadamu tuu, leo yupo, kesho anaweza asiwepo, au anaweza kufa. Mmoja wa wa watu hawa ni Ole Sabaya, siku ya mazishi ya Magufuli, mmoja kati ya waliolia sana ni Ole Sabaya, inawezekana alilia kwa mengi, uchungu wa kufiwa na mtu unaempenda sana, au wasiwasi wa nini kitampata baada ya nguzo na egemeo lake kuanguka, ndio maana mkamuona akifanya juhudi kubwa, ikiwemo kwenda Clouds kujisafisha, but very unfortunately, haukusaidia!.

Viongozi wahalifu kipindi chaAwamu ya Tano ni wengi, sio Sabaya pekee. Kama tumeamua kushughulika nao, tuwashughulikie wote
Kwenye awamu ya Tano, viongozi waliotenda mambo ya ajabu ajabu ni wengi, sio Ole Sabaya peke yake, kama awamu hii ya 6 ya Mama Samia, imeamua kuwashughulikia, then iwashughulikie wote. Tuache kufanya double standard ya cherry picking kuwashughulikia baadhi, wengine pia wapo na baadhi yao Mama Samia kaamua kuendelea kuwabeba mfano mzuri ni RC mmoja alimuamuru RPC wake kuwa namna ya kupunguza msongamano magerezani, ni kuwapiga risasi papo hapo vibaka wote, na kujiproud kwa ushujaa wake jinsi alivyo muua kibaka kwa kumpiga risasi mbili za kichwa na kumuua papo hapo, kisha akajipongeza kwa kunywa bia mbili!

Ufufuko wa miili na uzima wa milele, miili itakayo fufuliwa ni miili ya roho, ile miili ya nyama ikiisha zikwa, that is the end
Kwa vile kuna viongozi Rais Magufuli aliwapenda, Rais Mama Samia halazimiki kuwapenda, ndio maana tangu Rais Samia alipoingia tu, ameanza vizuri, mfano kitendo cha kuutengua uteuzi wa Dr. Bashiru kutoka Katibu Mkuu Kiongozi, na kumpa ubunge, ni demotion ya kistaarabu, mimi ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuupongeza uamuzi huo, nikazitolea pongezi zangu hewani kupitia Sauti ya Ujerumani na BBC Swahili.

Kwavile hili ni bandiko la life after life, yaani Magufuli huko aliko anayaona yote tunayawatendea aliowapenda, kama wakati wa Magufuli, sisi Watanzania, tuliwavumilia, na sasa wakati wa Samia, pia tuwavumilie, tusiwasulubishe kama alivyofanywa Sabaya, kitendo cha kutoteuliwa, kutoka mtu ulikuwa everthing, to nobody ni adhabu tosha, itoshe, kwasababu no one knows kwa sasa kule mbinguni Magufuli amepewa wadhifa gani, inawezekana yuko karibu sana na Mungu, hivyo akiona jinsi tunavyowatendea wale aliowapenda kama Sabaya, akakasirika na kumuomba Mungu, awaite baadhi ya watu!. Kama yeye mwenyewe aliweza kuitwa na sasa hayupo, then anyone anaweza kuitwa anytime, lets not risk viongozi wengine kuitwa. Hao waliofanya uovu, baada ya kutoteuliwa, tuiachie Karma iendelee kushughulika nao.

Nawaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kazi Iendelee.

Paskali
Hii ndiyo hasara ya kutojua maandiko ya biblia, ndiyo hasara ya kusoma misale ya waumini badala ya kusoma biblia.
WALIO HAI WANAJUA WATAKUFA, BALI WALIOKUFA HAJUI LOLOTE CHINI YA JUA WALA HAWANA IJARA TENA
Pascal soma biblia unajiabisha mdogo wangu
 
Back
Top Bottom