Hiyo nimeipenda ili wananchi ili wajue ukweli.Hotuba ya ilijaa vijembe kwa madaktari.Nawaomba madaktari wafunguke vilivyo na vyombo vya habari viwepo ila TBCCCM msiwalike wanapotosha taifa hili
Katika swala hili ia Dr Ulimboka huwezi ukajinasua hata kidogo,kwa vyovyote vile umehusika pamoja na.wadhalimu wa serikali ya MAGAMBA.Yaani unadiliki kusema polisi mpo wengi?
Kwa hiyo wewe si mmoja wao kati ya polisi walifanya unyama kwa Dr?usitudanganye wewe Mungu wako anakuona.Hayo madaraka...
Huyu jamaa anamuogopa Mungu kweli?hakika Mungu atamlipa kwa ujinga alioufanya.Dr Ulimboka Mungu akubariki ili upone tupambane na serikali hii dhalimu.madaktari tupo pamoja.Revolution ideas never die.Aluta continuer
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.