Mimi nashangaa leo ndio tunastuka na majasusi wa Rwanda!! Mchungaji mtikila alisema sana kuhusu majasusi wa Rwanda ndani ya serikali yetu hakuna aliyejali kila mtu alimuona Mtikila ni kichaa. Kwa taarifa yenu Mtikila alikuwa jasusi namba moja wa nchi hii kama mnabisha chunguzeni alichokuwa...
Hawa Kenya hawana urafiki au udugu tulisema hapa tukaambiwa wachochezi na sukuma gang sasa ile huku Uhuru huku Suluhu kiko wapi? Ndio kwanza wanachochea mgogoro wa wamasai ili Tanzania ionekane inawaonea jamii ya wamasai
Ninachofahamu Karume aliuwawa na Captain Humud kwa sababu ya kulipa kisasi cha baba yake aliyeuwawa akiwajela tena aliapa mbele ya wanafunzi wenzake wakiwa Urusi akisoma kwamba akirudi Zanzibar lazima atalipa kisasi (Alkisas). Karume alijulishwa hilo lakini alipuuza akidhani kwamba akimpandisha...
Well documented alafu kuna mtu mmoja wa TZ alienda kenya na akawahakikishia kwamba atafungua lile geti pale Bologonja magari yapite na watalii kutoka kenya
Narudia tena Ngorongoro inatakiwa iwe ya wanyama tu binadamu yoyote asiishi mle ndani na hoteli zote zilizomo ndani ya crater zivunjwe zijengwe nje ya crater au Karatu na Oldeani. Watalii watakuwa wanaingia crater na kutoka basi.
Dakta Ulimboka alitekwa na JPM na kungo'lewa meno kwa koleo? Si huyo Membe na kaka yake. Huyu bwana ameonyesha wazi kwamba ni mufilisi kisiasa eti alitaka awe rais wa nchi mtu hata msimamo hana CCM alafu ACT alafu CCM si afadhali mzee wa ubwabwa ana msimamo bado yupo na chama lake mpaka leo
Wawekezaji wa kutoka nje hawatatusaidia sisi kujikomboa kitu cha msingi tutafute teknologia tutengeneze vyetu tupate mtaji na huu mtaji yaani fedha zipo ila matajiri hawataki kulipa kodi. Hebu angalia mpaka leo wenye mabasi wamegoma kutumia zile mashine F nini sijui kukata tiketi. Ukituma barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.