Recent content by walusimbi

  1. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa Uchaguzi wa Meya jijini Tanga akamatwe mara moja

    Siku zote sio lazima kama madiwani wa CUF wakiwa wengi basi meya atoke CUF. Kuna mawili aidha; 1. Baadhi ya madiwani wa CUF hawamkubali mgombea umeya kupitia CUF 2. Baadhi ya madiwani wa CUF wamechukua rushwa na kumpigia mgombea umeya kupitia CCM
  2. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wavunja sheria ya kazi Tanzania

    Kasome sheria za kazi hasa kipengele cha likizo ndio utajua maana ya ulichoandika
  3. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga: Boko, Mbweni, Moga shuleni au Bunju A

    Kwa sh 200,000/- huwezi kupata aina ya nyumba unayoitaka
  4. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam

    Baada ya Dr.Mwinyi ni Mwigulu Nchemba. Kiti cha Dr. Shein hicho hapo mbele ambacho hakina mtu
  5. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

    Feki kivipi?
  6. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

    Mimi nakushauri uchukue mkopo wa sh mil 12 katika benki ya CRDB. Uchukue mkopo huo kwa kulipa muda wa miaka mitatu. Makato yatakuwa sh 433230 kwa mwezi.
  7. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

    Ukichukua mkopo wa mil 12 kwa riba ya 18% ndani ya mwaka mmoja utalipa jumla ya sh 13,177,920. Makato kwa mwezi ni sh 1,098,160. Kwa mshahara upi ulipe pesa zote hizo kwa mwezi?
  8. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM haina furaha

    Wewe umevuta bangi ya wapi.?
  9. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Balaa jingine lamkumba mjumbe wa bodi TPA

    Chadema mnamwogopa sana Dk.Tulia kiboko ya kina Lissu
  10. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la JPM kutokuwa na wazanzibari?

    JF imejaa watoto siku hizi
  11. walusimbi

    JamiiForums Tanzania HOME SHOPPING CENTER ndio wamiliki wa GALCO ICD...

    ICD -Inland Container Depot Maana yake ni bandari ya nchi kavu
  12. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi bunge la 11 ni bunge la Tanzania au Tanganyika?

    Sikujua kama wewe na manyumbu wengi ni vilaza namna hii. Katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015 Wazanzibari walipiga kura kuchagua viongozi wa aina tano; Rais wa Zanzibar,Mjumbe Baraza la Wawakilishi, Diwani,Rais wa Tanzania na Mbunge. Katika kila kituo cha kupiga kura...
  13. walusimbi

    JamiiForums Tanzania Bunge la Rwanda lapendekeza Sheria zitafsiriwe kwa Kiswahili

    Hivi maana ya laws ni miswada? au hujaelewa hiyo article ya kizungu? Kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui ni kwamba Sheria nyingi za Tanzania zimetafsiriwa kwa kiswahili , www.sheriakwakiswahili.blogspot.co.ke/2014/09/bofya-hapa-kupata-sheria-na-vitabu.html?m=1
  14. walusimbi

    JamiiForums Tanzania UKAWA naomba tuangalie Takwimu hizi za tume juu ya Urais tujadiliane

    Kura alizopata Lowassa ni 6042 na si 6420. Utakuwa umefanya hivyo kwa makusudi ili upotoshe umma
  15. walusimbi

    JamiiForums Tanzania UKAWA naomba tuangalie Takwimu hizi za tume juu ya Urais tujadiliane

    Lowassa hawezi kushinda, hata Mbowe anajua. Wewe jiulize kwanini Prof Lipumba na Dr. Slaa walijitoa UKAWA?
Back
Top Bottom