HOME SHOPPING CENTER ndio wamiliki wa GALCO ICD...

HOME SHOPPING CENTER ndio wamiliki wa GALCO ICD...

Hakuna msamaha kwa mkwepa kodi yoyote.
 
Nazjaz tuletee na wale mapapa wanaomiliki ranchi za taifa
 
Last edited by a moderator:
ICD = Inland Container Deport

Hivi ndivyo ninakumbuka
 
Mkuu kuna watu wanatabia za kishoga shoga sana. Wakati tunapiga kelele kuhusu jamaa yao kuelea hewani kila siku kama kunguru wao wakakebehi na kusema ni wivu tuu, leo hao hao wamegeuka na kusupport. Ubadhilifu na wizi huu unaoonekana ulipigiwa kelele weee lakini hamna kitu, watu walibaki kujikomba tuu. Leo eti nao wanauponda utawala uliopita utadhani ulikuwa wa Chadema au UDP

Kama wameelewa sasa uliyokuwa ukisema bado hutaki wabadilike??!!!
 
Wewe huna uwezo wa kumsaidia rais wala waziri mkuu maana wao wana mtandao mkubwa wakiamua

system hua inafanya kazi na raia, kama hujui acha kupotosha watu na kuwakatisha tamaa kutoa taarifa za uhalifu kama wanazo.
 
wana ccm watausema sana vibaya utawala wa Kikwete kama vile utawala huo ulikuwa wa chadema kwa kujipendekeza kwa Makufuli
 
Inasemekana baada ya kujifilisi wenyewe,hawa jamaa wamefungua icd mpya ipo nyerere road mita chache kufika mataa ya Tazara,unapita barabara ya vumbi karibu na ofisi ya TBC pale.

Kwasasa yasemekana wanafanya Transit tu.

Customs officer aliepo hapo alihamishwa kutoka TIcts na kupewa kituo hicho ambacho bado ni kichaka cha hao mabwana.

Kwa kuanzia tu naomba mh Raisi au Waziri mkuu pita hapo Galco Icd mjue anachokifanya huyo.

jk hivi alikuwa anataka kupeleka hii nchi wapi? wale magaidi wa kuvamia vituo vya polisi mfadhili alishakamatwa?
 
Back
Top Bottom