Recent content by Walter Seleman

  1. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

    The hound - game of thrones Damon salvatore - tvd Walt - breaking bad Glenn rhee - walking dead
  2. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    Changamoto nayoipata kwenye hizi app za checkers ni kuwa sheria wanazozitumia zipo tofauti sana na mazoea tunayocheza mtaani. Mfano. Kwenye Dalmax king hawez kuruka vyumba. Je kuna namna ya kucustomize rules?
  3. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

    Behind the enemy line
  4. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    ...."Kwa hiyo kumbuka, usiseme chai tuuuu Bali sema, naomba chai boraaa...."
  5. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

    Siku nyingne atakayejitolea kukimbia huo umbali awe na application ya simu ya kukimbia ili tujue ukwel.
  6. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo ndani yumo Ngwair. Wanaimba kuhusu weekend. ......Kama wekend ndio tayari ishafika, watu viwanjani wanamiminika......
  7. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Karibu upate bidhaa zetu, Duka letu lipo Ukonga Dar Es Salaam

    Unapatikana wapi na kama nipo mkoani itanifikiaje huduma
  8. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Good! Kujua bidhaa zilizokuwa registered najuaje?
  9. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Karibu tena, Hebu tujuze kuhusu kodi nitachajiwa % kwa bidhaa itakayoingia nchini. Na bado sijaona sehemu inayoonyesha kuwa bidhaa hii ipo registered au lah! lastly, option ya shipping ambayo ni cost less lakini yenye uhakika.
  10. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Karibu tena, Hebu tujuze kuhusu kodi nitachajiwa % kwa bidhaa itakayoingia nchini. Na bado sijaona sehemu inayoonyesha kuwa bidhaa hii ipo registered au lah! lastly, option ya shipping ambayo ni cost less lakini yenye uhakika
  11. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Nafahamuje zipcode au postcode yang?
  12. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Naomba kuuliza kuhusu suala la kodi. Nitajuaje kuwa kitu hicho kipo registered na hakitachajiwa kodi? Na kingine kuhusiana na usafirishaji, je ni kampuni gani inasafirisha kwa bei ya wastani na kwa muda mfupi?
  13. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Lg 55"'oled bei gani?
  14. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania Black American movies

    Bonge moja la comedy
  15. Walter Seleman

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Dah hii ya leo kali.
Back
Top Bottom