Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022.
Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea kwenye Taasisi za serikali au Taasisi binafsi,itakuwa vizuri ikiwa mkoa wa Mbeya hasa mbeya mjini...
Samahani kuwa nje,
Nauliza hivi kuhamisha hela benki CRDB kutoka akaunti moja kwenda akaunti nyingine( mtu alipata overpayment) hivi inaweza chukua muda gani?
Anayejua🙏🏿🙏🏿
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.