Recent content by Wallen-

  1. Wallen-

    JamiiForums Tanzania Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Mkuu naomba unipe njia ya kulog in kwenye hii app ya nmb maana tangu Jana imeshindikana
  2. Wallen-

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    9z
  3. Wallen-

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Asante ,,, kwa hiyo nikiweka neno internet kila sehemu haitanisumbua tena?
  4. Wallen-

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Nishaset apn ila shida ni kwamba baada ya muda flani zinagoma kufunguka tena. Sasa kazi imekuwa ngumu kila muda kuset. Ndo naomba msaada kama Kuna permanent setting ya internet ili nisipate hiyo shida ya kuset kila mara
  5. Wallen-

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Samahani Chief-Mkwawa Nina simu aina ya Samsung Galaxy a13 ina tatizo la kushindwa kufungua Google, chrome na YouTube japo internet ipo connected na WhatsApp inafanya kazi vizuri
  6. Wallen-

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hesabu okoeni jahazi

    Mbona hakuna swali gumu Hapo? Tafta mwalimu akufundishe upya hii topic Sio ngumu
Back
Top Bottom