Recent content by Walikuepo

  1. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Pagale linauzwa na bank, tshs.6 milioni, udindivu,Mapinga-Bagamoyo

    Njaa ikitoka tumboni kuja kichwani ndio tatizo hilo
  2. W

    JamiiForums Tanzania Upi ni msimamo wa Wasabato kuhusu sikukuu za Krisimasi na Pasaka?

    Kama sabato ni pumziko maanake wasabato ni wapumzikaji, Sasa unataka msimamo gan kwa wapumzikaji
  3. W

    JamiiForums Tanzania Upi ni msimamo wa Wasabato kuhusu sikukuu za Krisimasi na Pasaka?

    Kwani sabato ninini?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Yajue baadhi ya mambo ya Upagani yaliyoingizwa na kufuatawa katika Ukristo.

    Hapo namba nne, unaweza nitolea andiko kwenye biblia linalosema siku ya sabato ni jumamosi,
  5. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bondia Hassan Mgaya afariki Dunia baada ya kupigwa kwa TKO

    Kifo ni kifo tu
  6. W

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    Tatizo nao NHIF kwenye malipo wanamambo visababu vingi , ila me niliwahi tibiwa Aga khan wanahuduma nzuri
  7. W

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Vita havina mwenyewe
  8. W

    JamiiForums Tanzania Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

    Hivi hii warusi wenzangu mnalichukuliaje au dogo Zele hachapiki, Putin anatufanyia mambo ya ajabu mashabiki wake
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kambi nyingine ya kijeshi yalipuliwa tena ndani ya Urusi

    😢😢⁦☹️⁩⁦☹️⁩tumekwisha warusi , warusi wenzangu wa Kunduchi na Kawe tujifungie siku tatu kuliombea taifa letu
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha kijeshi Urusi chatiwa kiberiti

    Daaaah!!! Yani sisi warusi wa Manyoni na Ngalenaro tunashangaa sana superpower anashambuliwaje kwao? Putin anatuangusha sana mbona Ukraine ni nchi ndogo sana, nawauliza warusi wenzangu Putin mbona hatoi siraha za maangamizi au anazania NATO watakuja Ukraine kusaidia?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Pentagon Yairuhusu Ukraine Kushambulia Kwa "DRONES "Ndani Ya Urusi!

    Sasa hapa Putin huyu marekani anakujaribu anataka kuamsha waliolala, Putin toa hata nukes moja tuiangamize Ukraine, marekani ni nani hadi ampe jeuri dogo ZELE , me ni Mrusi wa Kondoa na mshabiki wako sana ila kiuhalisia marekani amekufatilia sana, nakushauri Putin mtafute marekani ulingoni kwa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Je, sisi Waafrika hatuna akili?

    Wafrika ni sahihi hawana akili na inapaswa watawaliwe, maana haiwezekani nchi inatoa madini ya Dhahabu, almasi , tanzanite, nk kwa wingi eti nchi ina baki kuwa masikini, nchi ina mito na mabwawa ya kutosha eti umeme unakuwa wa mgao, nchi ina maziwa, bahari, na mito mingi eti bado inashida ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mzambia aliyetumika kuisaidia Urusi kwenye vita, kuzikwa Zambia

    Mbona hiyo ya kujiunga na jeshi la Russia kupambana Ukraine sisi warusi wa Mbagala na Kigamboni hutaja ambiwa, mbona Putin anatufanyia hivyo
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

    Yakujitakia hayana pole
Back
Top Bottom