Rip ni muda muafaka wa kutafakari kama kuna sababu ya kwenda kuugulia India ni vyema tukaboresha za kwetu tutawasaidia watz walio wengi tuachane na ubinafsi wa kukimbilia india
hivi walikuwa watu 3800 tu namba shufwa kwanini sio 3801 mbona hao watu ni kama wa kuchora sio karatu ninayoifahamu hapa tunaelekea kanaani hatutarudi tena misri
hako ni kadagaa kadogo sana wakati ninyi mnakavurahia hako kadagaa mjiandae na kilio week end hii PROF MWAND...a atakapotangaza rasmi kuungana na wanamageuzi viva CHADEMA VIVA UKAWA
Hongereni sana wana cuf nawasihi muendelee na mshikamano huo mliouonyesha nimekuwa nikifarijika sana na kauli za viongozi na wanachama juu ya kujiuzulu kwa prof LI-PUMBA hii imeniconvice kutokuterereka kwa CUF kwanza hongereni na pia huyu mzee ni kikwazo katika mabadiliko na ni mroho wa madaraka...

watanzania tuwe waangalifu na watu tunaowapa ubunge huyu Lusinde hata kuwa baba wa familia hakustahili maana hana chochote kichwani ni mweupe zaidi ya karatasi poleni watu wa mtera miaka mitano imepita hamna mbunge sasa ndo wakati wa kuchagua mbunge wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.