Mbona mm ni mkereketwa wa Chadema namkubali makonda, usilete siasa kwenye uongozi unaosikiliza matatizo ya wananchi, Uongozi ni karama, uongozi ni kujiongeza, uongozi ni ubunifu, Makonda vyote anavyo, RC's wengi nchini hawana karama ya uongozi bali wamepewa uongozi kwa nguvu ya chama, hivi...