Ukiona nchi hadi wanafunzi wa sekondari wanaandamana na hakuna kufukuzwa shule wala kutekwa ama kuuawa basi jua huko wamevuka level za ustaarabu! Ni watu na nusu na katiba zao ni imara zaidi.
Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na;
1. Wananchi
2. Bunge
3. Mahakama
Sasa hiki ni nini wazee? Are we MAD?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.