Recent content by Wakusolve

  1. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Uwezi kushinda dhambi au uraibu wowote kwa nguvu au akili zako, mpe nafasi Mungu akusaidia kuondoa changamoto hizo

    Waefeso 1:7 Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake. Yesu kristo alijitoa sadaka pale msalabani ili kukomboa ulimwengu na dhambi pamoja na kurejesha uhusiano wa Mungu na binadamu baada ya kuvunjika kwenye bustani ya Eden...
  2. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Matunda ya kumpokea Yesu kristo na Yesu kristo akawa anaishi ndani yako

    2 Wakorintho 5:17 Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya. Matunda ya kumpokea Yesu kristo na Yesu kristo akawa anaishi ndani yako. Yesu kristo alikuja duniani ili kuja kuwakomboa wanadamu baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi kwenye...
  3. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  4. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Badili mtazamo wako na mafanikio katika maisha yako yatakufuata

    Pamoja mkuu🤝🤝🤝
  5. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Sifa za wateuliwa wa Mungu(choosen one)

    Sifa za wateuliwa wa Mungu(choosen one) 1.choosen ni wavunja vifungo vya ukoo au familia, ni watu ambao wanafanya mambo ambayo vizazi vilivyopita awakufanya, choosen wanapita njia za tofauti na wengine 2.Mungu anawatumia choosen one kama kiunganishi au daraja, choosen ni daraja kati ya Mungu...
  6. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Ukiona mambo haya kwenye maisha yako fahamu kuwa Mungu anayalinda maisha yako.

    Ufunuo wa Yohana 3:7 yeye mwenye kufungua wala hapana afungaye, naye afunga wala hapana afunguaye. Ukiona mambo haya kwenye maisha yako fahamu kuwa Mungu anayalinda maisha yako. 1.Watu kuondoka kwenye maisha yako bila sababu yoyote, Mungu uondoa watu ambao sio sahihi kwako Mungu anafahamu...
  7. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Zaburi 23:5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika

    Zaburi 23:5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Mungu ufanya kazi katika namna ya pekee ambapo kwa macho ya haraka uwezi elewa mpaka jambo hilo litakapo kamilika. Mungu uwapaka mafuta watu wake kwa namna ya pekee...
  8. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Roho Mtakatifu nini? Soma hapa kujua maana yake, kazi na jinsi ya kupata

    Matendo Ya Mitume 2:38 Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu nini? ni Roho wa Mungu anaye ishi ndani ya mtu, Roho Mtakatifu akiwa ndani ya mtu anakuwa ni mwalimu...
  9. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Udongo na Pumzi: Muungano Mtakatifu wa Mwanadamu na Ardhi

    Hakika🙏🙏🙏
Back
Top Bottom