Recent content by wakuselo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Smartphone sasa balaa

    ni kweli kabisa social network imekua ant social mana skuiz mkiwa zaidi ya wawili ni shiiida utakuta no stories kila mtu na lismartphone lake.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kutoa mimba? Muwe wakweli juu ya hili

    sababu kubwa kutojipanga.na utayari wa mwanaume kule kuipokea hali ya majukumu .
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwa kina tunaposema wapenzi waendane

    Hello wana jf mimi nina utata kidogo na swala tunaposema wapenzi waendane nje ya tabia nahobbies wat else is most iimportant.mfani naskia wengi wanasema diamond na wema hawaendani.mbona wema ni mdogo kiumri kama ilivo sifa kubwa kwa watanzia.
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo na mimi niwape dose yenu wadada wa mjini hasa faceebok

    NI sawa la wale wadada wenye mshahara LAKI 3 afu amepanga nyumba ya laki mbili na nusu KWA mwezi.ana Nadia.kiatu cha laki moja.handbag ya elfu 70.alafu anaomba Mungu atende miujiza.wakati ameshajitendea
  5. W

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 4 linauzwa maeneo ya Miyuji-Dodoma

    SHAMBA la Ekari 4 linauzwa. Lipo Miyuji mashariki mwa hospital ya St Gemma; limepimwa na lina hati; lipo karibu na barabara kuu, kuna availability ya maji na umeme. Kwa watakaohitaji wasiliana na 0752403710.
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu wadau

    mimi ni mdada nina mpenzi na tunapendana sana ila tunatumia condon.kwasasa nahitaji mtoto na huyu mpenzi hata wa kumlea mimi kama mimi.tumepanga kufunga ndoa kwa hapo baadae sana.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu wadau

    Mimi ni mdada nina mpenzi tunapendana sana ila tunatumia condom ila mimi nahitaji mtoto hata kwa kumlea mimi, kama mimije nifanyeje?
Back
Top Bottom