Shamba ekari 4 linauzwa maeneo ya Miyuji-Dodoma

Shamba ekari 4 linauzwa maeneo ya Miyuji-Dodoma

wakuselo

Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
7
Reaction score
2
SHAMBA la Ekari 4 linauzwa.

Lipo Miyuji mashariki mwa hospital ya St Gemma; limepimwa na lina hati; lipo karibu na barabara kuu, kuna availability ya maji na umeme.

Kwa watakaohitaji wasiliana na 0752403710.
 
You are supporsed to be business oriented, without stating the price there is no offer given and serious people won't respond!
 
Nina milion 15 nahitaji kiwanja kisichopungua ukubwa WA 1200 m2!!!! Maeneo ya Boko, Kigamboni, Bunju, mbweni jkt, kibada, tuangoma...kiwe mahali ambapo watu wameshaanza kujenga kwenye huduma za kijamii...ukipata au kusikia naomba unijurishe...email yangu ni woowtv@live.co.uk. Asante.
 
muuzaji mbona hajibu swali?
weka bei mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom