Inches za tv/desktop/laptop hupimwa diagonally. Yaani kutoka upande wa juu kushoto mpaka upande wa chini kulia au upande wa kushoto chini mpaka kulia juu.
Ni kweli kabisa mkuu!
Ni kweli kabisa mkuu uyasemayo. Mimi nina mtoto wangu kidato cha nne ni bora zaidi abaki shule kuliko nyumbani. Mimi kama mzazi nikitoka asubuhi kwenda kazini narudi jioni, itakuwa kuwa ngumu kujua nini anafanya ndani ya masaa hayo 12.(mimi na mama yake tunatoka asubuhi na...
Kila kitu/sehemu inautaratibu wake! Kama hawajalipa Ada ni haki yao kufukuzwa. Umaskini wao hauhusiki na taratibu za chuo. Ulitaka mkuu wa chuo afanye nini ikiwa hajalipa ada? Umaskini ni mbaya sana kila kitu unaona unaonewa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.