Recent content by Wakuganda

  1. W

    JamiiForums Tanzania Graduates 2018 karibuni sana mtaani

    Inategemea huenda chuo ulikuwa unapata mkopo ukawa-unasurvive sasa kitaa hakuna mikopo, ukisema utauza ideas zako utamuuzia nani ili upate mtaji na pesa imekuwa duni
  2. W

    JamiiForums Tanzania Otea naishi wapi mahali gani hapa duniani

    Itakuwa Tanzania maeneo ya Iringa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Somo kwa wanawake: Jinsi ya kumchuna mwanaume

    Ila kwa haya mafundisho mtasababisha hata wale wenye nia za dhati kuogopa wakiangalia hizo elements za Kudanga isitoshe mtu akisikia suala la pesa hata kama kuna umuhimu mtu ni atukua hatoi, na biashara za kushobokeana zitaishia hapo tutabaki tunatizamana kama wanajeshi wa jinsia tofauti...
Back
Top Bottom