mleta mada hawata kuelewa.
mimi nilikaa miaka mitano bila kuwasiliana na wazazi kisa bado najitafuta.
hata kwa mpenz wangu nikiwa sina hela simsumbuagi hata kumgusa tu hadi niwe na pesa hapo narudi na mahaba kama yote.
Aise ! baba yangu yupo kama huyo mmewako.
mama anapambana anafanya biashara kwakujihangaikia.
mzee anabeba pesa kwenda kuhonga michepuko yake.
yaani baba ndiye huongoza kumpiromosha mama kiuchumi.
nihatari sana kua na mme wa kihivyo.
ni wajinga sana mzee wangu namchukiaga sana familia...
halafu hao mawatu yanayowaza kuandamana yanakera.
kutuharibia harakati za maisha binafsi.
( wanahangaikia uongozi utadhan wana malaika wanae taka kumweka madarakani yaan hawajui kua kiongozi yeyote ni lazima atakua na mapungufu tu. ).
watu wakimya hua tunasalimja na tunaupendo sana kwa kila mtu.
nikiulizwa hua najibu ila kiufupi sana labda niwe na mood nzuri hapo nitaongea sana hasa kama nipo na nilie mzoea.
kuulizwa na kukaa kimya labda nikiona jibu lina ukakasi nakaaga kimya kabisa.
si umesema ni pacha ya hii ?.
ni rahisi tu copy maneno ya mwanzoni ka pest fb search itakuja.
Acheni kujitungia mambo mtu amesema ni story yake. Wewe ukiona anadanganya jifunze la kujifunza kisha kausha.
lamhim jali elimu na burudan yako inatosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.