Recent content by Wakuchanja

  1. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya IST na Subaru Impreza

    Wakuu kwema Nataka kuvuta mchuma kati ya Subaru Impreza na ist naombeni ushauli wenu juu ya hayo magari ili nifanye chaguzi sahihi. Subaru Impreza Toyota IST
  2. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi miwil kutopata choo

    Habarini wana Jf Nime bahatika kupata mtoto wakiume ametimiza miezi miwili sasa...tatizo nikwamba hapata choo leo ni siku ya sita Je tatizo ni nini au kuna njia yoyote yakumsaidia apate choo?
  3. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya kukosa hela na kukosa usingizi

    Mi huwa napata hasira sana
  4. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya kukosa hela na kukosa usingizi

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  5. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Cover za laptop na sim

    Nitakuja na uzi wa biashara wakuu bado nafanya tafit kwanza
  6. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Cover za laptop na sim

    Salama wakuu Ninawazo la kuanzisha biashara ya kuprint macover ya sim na laptop Mwenye uwelewa vifaa vinavyo hitajika na printer ya aina gani na kias gan inauzwa anisaidie
  7. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Cover za sim na laptop

    Salama wakuu Ninawazo la kuanzisha biashara ya kuprint macover ya sim na laptop Mwenye uwelewa vifaa vinavyo hitajika na printer ya aina gani na kias gan inauzwa anisaidie plz
  8. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya kukosa hela na kukosa usingizi

    Mkuu huwa hupigi watu kweli
  9. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya kukosa hela na kukosa usingizi

    Habari wakuu Hili swala nimekuwa najiuliza sipati majibu kwasababu nikikosa pesa basi na usingiz sipati. Msaada plz mwenye uelewa wa hayo mambo
  10. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ugonjwa gani?

    Ngoma sina asee
  11. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ugonjwa gani?

    Sawa mkuu
  12. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ugonjwa gani?

    Nashukuru mkuu
  13. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ugonjwa gani?

    Hili linaweza kuwa ni tatizo gani? Ama ni ugonjwa upi na unatiba?
  14. Wakuchanja

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

    Nyie wanawake mbona mna vichwa vibaya nywele zinawabeba
Back
Top Bottom