Recent content by waktz

  1. waktz

    JamiiForums Tanzania Wadau haya ni madini gani?

    Mzee iyo ni almasi kuvu nipe 2M nikuonyeshe soko
  2. waktz

    JamiiForums Tanzania Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

    Kwaiyo kwenye ufungaji Bora magoli ya penati haya hesabiki Nyuma mwiko hamjawai kua na aki
  3. waktz

    JamiiForums Tanzania Kibu ndiyo victim na siyo Simba SC, hakupewa milioni 400

    Umetokea kigoma sehemu gani home boy
  4. waktz

    JamiiForums Tanzania Tetesi zinadai Israel yalipua Hospitali Gaza, 500 wafariki

    Hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu Inafaa Kusoma Bw. Netanyahu alisema: Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo. [emoji838] Miaka 60 iliyopita! [emoji838] hakuna nchi. Hakuna Jeshi. Nchi saba za Kiarabu zilitangaza vita dhidi ya dola hiyo...
  5. waktz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kiarabu mwenye silaha aua raia wawili wa Sweden mjini Brussels, Ubelgiji

    Ngoja waje mkuu watupe somo
  6. waktz

    JamiiForums Tanzania Ushoga katika taifa la Israeli

    Mungu hayuko kama wanavyodhani hukumu ya Mungu sio ya Mwanadamu
  7. waktz

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

    Mkuu sijaelewa hivi hii ni vita ya KIDINI
  8. waktz

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

    Hivi hiii ni vita ya Kidini!?
  9. waktz

    JamiiForums Tanzania Israel yaimarisha Ulinzi Msikitini Al Aqsa, Viongozi wa Dunia waelekea Israel kuzuia Vita isienee duniani kote!

    Kwani lazima ukaswali msikitini na unaona kabisa kuna vita swalia hata porini uko.kuna watu ni viburi sanaa
  10. waktz

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Kama watu walipitishwa Huku ...
  11. waktz

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Hivi unajua Taifa la Israel liliundwa mwaka Gani!? Na kabla ya hapo wa Israel walikua wapi!? Nakupa home work
  12. waktz

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Kwaiyo unadhani wa Israel 1970 ndo Hawa wa leo.Ogopa nchi iliozungukwa na maadui kila upande?
  13. waktz

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Hili ndo neno la Mungu sasa wewe bishana na Mungu
  14. waktz

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Neno La Mungu halijawai kubadilika hata kama Israel watashindwa itakua ni kwa Muda tu
Back
Top Bottom