Recent content by wakomong'we

  1. W

    Nahitaji kufungua akaunti ya US Dollar benki za Tanzania

    NMB is the most,rate zao ziko poa sana,nenda na dollar 100 kama initial deposit,barua ya utambulisho toka mwajiri wako au serikali za mitaa ID yako,unapata huduma hiyo ktk tawi lolote la NMB nchi nzima,zaidi ya matawi 150.Nenda NMB
  2. W

    Nashindwa jinsi ya kuprint a secured PDF Book,Msaada wanabord Please!

    ndugu zangu kuna kitabu nimedownload na kukisave kwenye PC yangu,lakini nikitaka kuprint nipate hardcopy ile print icon haiwi active kuniruhusu niprint,kitabu kiko kwenye PDF (secured) .Mwenye kujua naomba anisaidie.
  3. W

    Naomba kujua cv za watangazaji wa star tv hususani hawa wa kike

    una hoja nzuri,ila ingependeza zaidi kama ungeonyesha eneo au sehemu ambayo katika utangazaji wao wanakosea,na utoe solution/sugestion jinsi ya kuboresha hapo ambapo wanakosea kuliko kuomba cv bila mapendekezo tutakuwa hatujenge,thanx
  4. W

    Msaada wa haraka

    Wana jamvi nina tatizo la kigugumizi cha mikono kwenye suala la typing, kuna jamaa yangu ameniambia nitafute program moja inaitwa typing master. naomba kwa wenye ufahamu na hili wanisaidie
  5. W

    Supplier wa Samaki toka Mwanza anahitajika

    Kuna jamaa yangu mmoja anafanya biashara hiyo, anasafirisha kwenda mikoani , kama upo serious weka contact zako hapa jamvini, nitakuunganisha na jamaa sasa hv, kazi kwako, mzigo unapatikana na kila siku jamaa anasupply mikoani, nipigie kwa namba 0786790570.
  6. W

    Supplier wa Samaki toka Mwanza anahitajika

    Kuna jamaa yangu mmoja anafanya biashara hiyo, anasafirisha kwenda mikoani , kama upo serious weka contact zako hapa jamvini, nitakuunganisha na jamaa sasa hv, kazi kwako, mzigo unapatikana na kila siku jamaa anasupply mikoani, nipigie kwa namba 0786790570.
  7. W

    Msaada nifanyeje?

    Ndugu wana board,ninatumia window 7 ultimate kwenye laptop yangu ambayo ni Dell,lakini cha kushangaza ni kwamba local disk C inaongezeka bila ya kuinstall program yoyote ile na siko online kusema kwamba window inafanya update.Mwenye ufahamu juu ya hili swala anisaidie ndugu zangu
  8. W

    Software ya kuflash simu za Kichina inahitaji DownloadAgentlib.dll,Msaada jamani

    Ndugu wanaboard,nimepata software ya kuflash simu za Kichina ambayo ni GPDDragon Ver 2.13-www.MobileRdx.com,Binafsi kwenye pc yangu natumia Window7 Ultimate,ila kila nikijaribu kuinstall inadai niweke DownloadAgentlib.dll nimejaribu kila njia lakini sijafanikiwa naomba mwenye mawazo au hii...
  9. W

    wanajanvi , naomba msaada khs online registration ya private candidate.

    Nimehangaika sana tangu jana kufanya online registration bila mafanikio, nimefuata maelekezo, na pia nimeshalipia kwa njia ya M pesa, lakini kila nikibofya ili kucreate user name inaandika conecting kwa muda mrefu bila kufunguka , tafadhali wanajamvi mnisaidie nimekwama nifanyeje?
  10. W

    Tupendekeze dar iwe center ya Japanese used car kwa nchi za zote Africa especially landlocked

    Ndugu wana Board habarini za weekend,Leo nimekuja na pendekezo moja kwamba ni kwa nini serikali yetu isijipange kuwashawishi wajapan na serikali yao kuweka soko la magari yao used hapa Dar,kutokana kwamba nchi nyingi za Africa zinanunua haya magari kwa wingi sana,hoja yangu hapa ni kuifanya Dar...
  11. W

    Machine za Maximalipo

    wapo makumbusho,milenium tower 1st floor, bei ya mashine ni 524000 kachukue
  12. W

    Kwa Wachumi wetu,Ni kwa nini tusitumie hela ya China kununulia bidhaa?

    Ndugu wana Board,kuna vitu vinanitatizi sana kuhusu Uchumi wa dunia ulivyo kwa sasa. Kwanza kabisa fedha ya Taifa fulani kuwa super currency wanaangalia vitu gani mfano ilivyo US $,Pound ya Uingereza na zingine nyingi.Kama moja ya factor ni uzalishaji basi nilitegemea kwa kipindi cha miaka...
  13. W

    Msaada jinsi ya kutengeneza blog

    Ndugu wana Board poleni sana kwa majukumu mazito yanatukabili,Naomba ukielekezwa jinsi ya kutengeneza blog,nataka niitumie kwa ajili ya kutanganza product ninazouza kwa mfano simu na vifaa vya electronics.Natanguliza shukurani
  14. W

    Mwenye key ya Internet Download manager (IDM)

    nimeshindwa kabisa kupata key ya IDM,naomba mwenye nayo anisaidie kwa kupitia mg.moses1@hotmail.com
  15. W

    msaada jamani please! Please! Please!

    Natanguliza shukurani za dhati wakuu.Naomba mwenye key ya Internet download manager (IDM) anisaidie,au kama anayo version ya IDM yenye key aiweke hapa niishushe au anitumie kupitia mg.moses@yahoo.com,nawaombeni sana ndungu zangu.Chrimas njema na heri ya mwaka mpya
Back
Top Bottom