Recent content by Wakilimsomitz

  1. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nyie wanawake acheni kututega wauza maduka

    Hiyo dawa kiboko ila ndumba ni dhambi
  2. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nyie wanawake acheni kututega wauza maduka

    Unakuta na wewe ndo unategemea hapo, siyo powa ni kipengele
  3. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nyie wanawake acheni kututega wauza maduka

    Wanaliwa sanaaaa mtaani
  4. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Looh! Nimeambiwa kuchuma chai kg 1 sh 300 bora nirudi nyumbani

    Ongea nao wanaweza ongeza
  5. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

    Naomba namba tuwasilane kwa njia ya whatsapp
  6. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

    Naomba namba yako mkuu🙏
  7. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

    Nime watag moderators, naomba mnirekebishie kichwa cha habari kisomeke. Nataka nirudi shule then niombe udhamini 🙏
  8. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu UKIMWI is real

    Huu ugonjwa siupendi
  9. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

    Sawa mkuu . Heri wewe umenielewesha ila wengine wanaona nimefanya makusudi,ila ndiy hivy binadamu tunatofautiana haswa hii ngozi nyeusi
  10. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

    Kama jf ya kwako sawa😎
  11. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

    Nimejiunga jf muda si mrefu so,bado sijui vzr kutumia kichwa cha habari nilitaka kuandia. Naomba ushauri nataka nirudi shule✍🏼
  12. Wakilimsomitz

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

    Nielekeze jinsi ya kurekebisha kichwa cha habari
Back
Top Bottom