Recent content by wakeup tz

  1. W

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuiondoa CCM kwenye utawala

    ni kweli kaka but vijijini ndo wanatuangusha mzee! yaani wakipewa tshirts na kanga tu wanasahau shida zooote na wanajiuza miaka mitano kwa vitu hivyo. kiukweli mjini ccm haikubaliki ila kwa vijijini bado wana nguvu na ndo maana tunatakiwa kila tunapopata nafas tunazungumza nao habari za...
  2. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haiwezi kushindana na serikali kwa namna hii; Iitishe mgomo wa Kitaifa!

    inawezekana kabisa nchi yetu ikawa inaongozwa na shetani na aina anayotuongoza nayo nii ya kumwaga damu kama mafuta ya kuendeshea nchi! tangu serikali hii ya awamu ya 4 iingie madarakani mimi ndo nimesikia ktk nchi yetu watu wanakufa kwa mabomu yanayolipuka kitu ambacho huwezi kukisikia kwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

    viongozi wa dini wako wapi? mbona hakuna anayetoa tamko la kulaani haya? mimi siyo nabii wala mtume ila ni maombi yangu iwe hivi:- Mungu aliyesema kila atakayemwaga damu ya mwenzie na yake itamwagwa, auwaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga. aliyehusika na haya kama ni serikali au ni maagizo ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Naibu spika NDUGAI apinga vikali spika kutokuwa mbunge

    kama anataka uspika asigombee ubunge 2015 ili auombe huo uspika halafu aone kitakachompata!
Back
Top Bottom