Recent content by Wakaya

  1. W

    Apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani kwa kukutwa katinga sare za jeshi

    Na huyo aliyetoa adhabu si atakuwa amejipa adhabu,mpa mche uishe?!.
  2. W

    Nchi gani zinazozalisha Korosho kwa wingi Afrika?

    Labda jamaa anaona wengi ni weusi au ni mwanachama wa ile "MBOGA" yao
  3. W

    Nchi gani zinazozalisha Korosho kwa wingi Afrika?

    Inauma sana jinsi tulivyo na viongozi wasiojali watu wao,ukweli niliwaonea huruma watu wa maeneo ya pwani,kuna jamaa yangu amenunua shamba maeneo ya jaribu,jaribu ni mpakani mwa wilaya ya Rufiji akaniambia niende nikaone akawa ananitembeza shambani kwake,mikosho ilikuwa haijafanyiwa usafi wala...
  4. W

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nitafutie wa kuja Muleba nije Rukwa,simu 0652 594252
  5. W

    Nchi gani zinazozalisha Korosho kwa wingi Afrika?

    Habari ndugu zangu na wana familia wa jf,naomba kuufahamu nchi maarufu kwa uzalishaji wa korosho barani Afrika,nauliza kwa maana kuna mtu alishawahi kuuliza kwanini wakazi wa Pwani ni masikini?.Nilikuwa maeneo ya mkoa wa pwani hivi majuzi kama ifahamikavyo kuwa zao la biashara la mikoa ya pwani...
  6. W

    Matumizi ya ugoro yamezidi kwa sasa

    Mi wananikera pale wanaporusha mimate yao!!. Ptsiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........!
  7. W

    Wageni wengine bhana ni kero tupuu!

    Kwangu mimi hili neno Bhana sijui asili yake wapi!,tubuni vya msingi!.
  8. W

    Angalia picha yamtu aliyepatwa na ebola: Hatari sana.

    Umenifanya nichekeee!
  9. W

    Polisi waliofukuzwa kazi warudishwa kazini!

    Hisia zako ziwe na KIASI MKUU
  10. W

    Mchungaji anapokea na kuhifadhi waasi wa M23 kanisani kwake jijini Dar.

    Kwa ninavyofahamu mimi M23 wengi wao wana asili ya Rwanda,tuliangalie na hili.
  11. W

    David Mwaibula, aliyebuni mistari ya daladala Dar es salaam yupo wapi?

    kweli hazina kama hii inapotea kirahisi namna hii!.Big up mzee Mwaibula!
  12. W

    Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

    tuna wengi wa mfano wako lakini TZ inaangamia!, masikini nchi yangu!!.
  13. W

    Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

    Ndo na wewe unajiona kichwa chako ni kizuri,yote mwenzako aliyoandika umeona kosa hilo tu!,TZ yangu ina angamia kwa kukosa maarifa!
Back
Top Bottom