Recent content by WAJONAN

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka Uchaguzi wa CUF Zanzibar - Matokeo

    Kuhusu huyu Khalifa ulikosea mkuu ,huyu alikua mbunge 2000,na hakumaliza muhula wake.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid Mbunge wa CUF, aaga Bunge na kutangaza kugombea urais kupitia chama cha ADC

    Huko Zanzibar labda anaemkubali ni mama yako tu.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Balozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia

    Hakuna kanisa huko.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tulaani mauaji ya Garissa, lakini Padre Karugendo auliza gaidi ni nani?

    Kundi la Al shabab lipo miaka mingi kule Somalia na hakijapata kushambulia K va
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Mwingine ahusishwa na mauwaji yanayoendelea huko Garissa

    Nilipata tetesi kua ni Mh Mbowe alikua mapumzikoni,hua anakawaida ya kutembelea Kenya saana.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Tatizo lenu nyinyi chadema ni kudai talaka na bwana bado mukali mtaka sasa mushaachwa mnapiga kelele sanaa. Mutakua na lipi litakalo fanywa na Zitto au ACT likawafurahisha? Poleni ndio kuachwa uko .
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Tatizo lenu nyinyi chadema ni kudai talaka na bwana bado mukali mtaka sasavmushachwa mnapiga kelele sanaa. Mutakua na lipi litakalo fanywa na Zitto au ACT likawafurahisha? Poleni ndio kuachwa uko .
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    lusungo kama unaona kuachana nalo hilo suala ndio suluhisho utakua pombe zako hazijatoka kichwani.Ushauri wangu washauri wagaratia wenzako waachane na mambo yasiyo wahusu.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Unaposema kumuharamia mtu inamaanisha utatoa cha kwako jee kuna kodi inayotolewa na kanisa kuendesha serekali?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Siasa za kuchafuana TZ zitaisha lini?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Pengo la Tundu Lissu mswaada wa hukumu ya kifo laonekana

    Ushabiki mwengine wa kijuha kweli. Sasa Tundu ndie mtu pekee anaejua sheria ktk ilo bunge? Na nini alichokifanya leo hii hadi kuwa kiroja hapa ukumbini?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

  13. W

    JamiiForums Tanzania Ewe Muislamu, Ikubali kwanza BAKWATA kabla ya kuihitaji Mahakama ya Kadhi

    Naona umemalizia na mipasho!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Zitto Kabwe

    Kwahiyo unafikiri angefanya nini ,hebu jaribu kutuonesha mbadala.
Back
Top Bottom