Hakuna sababu ya kwenda Wizarani wakati anataja miradi mbona ilikuwa wazi?ni ujinga kudhani kwamba kama kuna mtu anafagiliwa na watu hatuwezi kuhoji madhaifu yake.ni ujinga pia kama utaweka mapenzi ya kizembe kwrnye hoja ya maisha ya watu.
Kwenye bajeti ya Mwaka 2014/2015 Waziri Magufuri akisoma bajeti hiyo alisema kwamba atajenga barabara ya Banana Kitunda,Kitunda Kivule na Kivule Msongola kwa kiwango cha lami.lakini hadi naandika hapa hakuna kilichofanyika na Ikonga kuna Mbunge Mwaiposa na Meya Jerry wamekaa kimya na sasa...
Siku ya uzinduzi wa Mafunzo ya Wana Chama na viongozi yaliyofanyika katika uwanja wa P.T.A Temeke Mhe.Mbowe alisema kamati kuu anayoiongoza itafanya uteuzi wa wagombea kwa kuzingatia sifa na wala si pochi ya mgombea ni nene kiasi gani.Kauli hii thabiti ya kiongozi wangu huyu imewatia moyo...
Baada ya zoezi la uchaguzi wa mkoa wa Mara kusimamishwa hatimaye jana ulifanyika.Mimi niliyekuwa miongoni mwa wagombea sikugombea kwa kuwa nilimwamini mh. Vincent Nyerere kwamba kazi ambayo nilitaka kuifanya anaimudu.
Katika uchaguzi wa jana wagombea walikuwa watatu na matokeo ni kama...
mhe vincent nyerere kura 40
mhe king haile kura 30
mhe patrobas ademba kura 1
kwa kura hizo mhe vincent nyerere alitangazwa kuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara.
Juzi katika kata ya Kitunda lilizinduliwa Kombe la Marembeka mgeni rasmi alikuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF.
Kwa maelezo ya waliohusika inaonekana mwenye Kombe ni Mhe.marembeka Diwani wa kata ya Msongola.
Huyu ni diwani kata nyingine na hata kata yake haina kombe ila ameleta kombe kitunda tena...
Leo kuanzia muda wa saa mbili usiku hadi saa tatu na nusu usiku nitakuwa kwenye kipindi cha Mchakato wa Katiba Mlimani Tv.
Critical Thinkers wote mnakaribishwa tujadili pamoja hapa ndipo mahali pake.
Kwa umuhimu wa Katiba kwa taifa na watu wake naomba tujumuike ili kujadili na kisha kwa...
Nimesoma hiki kinachoitwa utafiti.Mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mara na pia nina uelewa wa utafiti.Ni watu wangapi walihojiwa ,nani kafanya utafiti,je hicho chombo kimesajiliwa na kutambuliwa kisheria?,je huyu alikuwa na malengo gani kufanya hii kazi?fedha ya kufanya kazi hii imetoka wapi?sasa...
Wana jamvi leo asubuhi nilisikia habari za kashindye kuiacha Chadema kwenye gazeti la udaku la uhuru.Kwa sababu mimi ndiye nilikuwa Mratibu wa uchaguzi mdogo Igunga ambao alikuwa mgombea niliguswa na habari hizi.Leo saa 17.55 nimempigia simu Kashindye ili kujua ukweli wa jambo hili.Kwa kauli...
wasomi hao ni wapiwanafunzi au maprofesa?mtu ambaye aki faeli leo anakuwa mtu wa sekondari?hata hivyo mbona kuna sura za mablozi wa ccm na Vijana wa GreenGuard?
Kwa maoni yangu si tu Wizara ya Mwandosya ambayo haina ulazima bali ni nyingi ambazo zilipaswa kuwa idara tu za serikali.mfano wizara za Wassira,Lukuvi hizi ni idara tu,Mary Nagu na Kigoda na nyingine nyingi kwa ufupi serikali hii dhaifu ya ccm inakula fedha za umma na kulipa fadhira za mafisadi...
kwa taarifs nilizo nazo ni kwamba watu wengi walibebwa kama kawaida ya ccm kutoka vijijini.Nape alisema wao Ccm hawatakimkatiba na kwamba ile ya Bunge la katiba ilikuwa ni geresha tu.Katika msafara huo wa ccm yalitumika magari ya serikali na kwa maana hiyo kwa maoni yangu ni makosa kwa sababau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.