Hayo ni matokeo ya mbegu chafu za rushwa katika chama cha ccm na seikaili yao.uchaguzi wa ccm katika wilaya zote za mkoa wa mara zilijaa rushwa na wote walioshinda ni kwa kuzidiana fedha.kabla ya uchaguzi huo ambao mwishoni walidundana mjumbe wa nec tarime ailisema anatamani vijana kwenye...
Pamoja na kwamba kumekuwa na usiri mwingi katika mambo mengi ya kitaifa,katika hili tunaomba mhe b mkapa awasaidie watanzania.akumbuke kuwa wakati wa uchaguzi mdogo Arumeru mashariki alipata tuhuma nzito kutoka kwa vicent nyerere akakaa kimya na hili asipo jibu maana yake.waswahili wanasema hata...
wadau mnaombwa kushiriki katika maada tajwa hapo juu kwa kangalia.ni muhimu sana kushiriki ili kujua mawazo ya wadau wengine na hasa vyama vya sisa juu mamlaka na madaraka ya Rais katika katiba mpya.
Sikuwahi kujua kuwa nawe huwa una mawazo ya kihafidhina. Pole WildCard. Kuundoa utawala mbovu kama wa CCM hauhitaji katiba mpya. Hata kwa katiba iliyopo CCM wanaweza kuondoka. Hivyo vyombo vya dola unavyovizungumzia ni vipi? Watawala waliondolewa sehemu zingine haikuhitaji katiba mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.