That's very nice. Good work.
Nimechukua moja nikafanya ringtone ili ku appreciate juhudi za watanzania wenzangu. Push more harder, you will earn on the way. I appreciate!
Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana.
Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani:
Nchi ni Rais. Rais ni nchi.
Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
Swali zuri sana. Tunafuatilia comments.
Hata hivyo, tunawakumbusha wale wanaopenda kushiriki kwenye Programs za usafi na mazingira katika jiji la DSM kuendelea kujiorodhesha kwa wingi.
Kwa niaba ya Rais jiji la DSM litakuwa safi
Tunakuja...tunaendelea kuweka mambo sawa
Swali zuri sana. Tunafuatilia comments.
Hata hivyo, tunawakumbusha wale wanaopenda kushiriki kwenye Programs za usafi na mazingira katika jiji la DSM kuendelea kujiorodhesha kwa wingi.
Kwa niaba ya Rais jiji la DSM litakuwa safi.
1. Watoto wawe na haki ya kuhakikishiwa ajira pindi wamalizapo masomo. Hili linawezekana na lipo ndani ya uwezo wetu kama nchi. Nchi yetu ni changa sana bado haijajengwa. Je, nani atajenga kama sio watoto wetu?
Kuna ajira nyingi sana nchi hii changamoto kubwa ni mifumo yetu na usimamizi wa...
Bypass mambo kama haya kijanja sana wala huna sababu ya kumlalamikia mtu yeyote yule.
Unafahamu Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters Network (PSN)?
Channel ndoto zako kupitia platforms zake hakika hakuna kitakachokuzuia.
Shiriki kwenye Programs zake mbalimbali yasio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.