Recent content by wadzelino

  1. wadzelino

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi ya Udereva

    Asee,nina kishule kinaanza,nilitamani kupata mtu kama wewe japo siyo kwa malipo ya full time,ila ni mkoani sasa
  2. wadzelino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Weka namba
  3. wadzelino

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mkoani ila
  4. wadzelino

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Unaweza kufundisha shule ya English Medium?Wewe ni Me au ke?
  5. wadzelino

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    School bus vp?
  6. wadzelino

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Njoo ufundishe watoto
  7. wadzelino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimevamiwa nyumbani kwangu na mwanamke niliyempa mimba. Nifanyeje?

    "Duh,kukabia juu"
  8. wadzelino

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi wakuu

    Njoo Njoo mkoa Kama lugha inapanda ufundishe watoto wa dogo
  9. wadzelino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa kwenye ndoa ya Kikristo tena na mkristo mwenzangu

    "Moja ya mapungufu ya dini ya ya kikristo ni kuruhusu kuoa mke mmoja" Hayo NI maneno ya Padre mmoja akisuluhisha mgogoro wa ndoa. NI kosa kubwa kwenye dunia hii kutoelewa asili ya mwanaume kwa mwanamke,unapoingia ondoa mawazo ya kujimilikisha ikitokea yeye kubaki wako pekee hiyo NI bahati.
  10. wadzelino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu anipe nguvu ya kupuuzia mambo ili kuokoa afya yangu

    "Hakuna jela mbaya,Kama nyumba isiyo na amani"
  11. wadzelino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu anipe nguvu ya kupuuzia mambo ili kuokoa afya yangu

    Ukweli mtupu Asee pole,Mimi red light zilianza mapema,kwao kwenda hataki,Sasa tuna watoto 3,tabia ndo Kama hizo,Sasa nashughulika na wanangu tu,na sijali. Nakushauri,kama hujazaa naye mwache tembea mbele. Nina mpango wa kuhama kimyakimya
  12. wadzelino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wakuu

    "Kamwe usiendekeze demokrasia katika mahusiano,utakuja lia"@be putinized.
  13. wadzelino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

    "Usithubutu kuoa kwa kigezo Cha mimba"nimekoma
Back
Top Bottom