Siwezi kukupinga ndugu yangu.
Ila kwa mazingira ya Tundulisu tunaweza kuamini kutokana na harakati alizokuwa akizifanya pamoja na matamko ya hayati magufuli akisema anataka kuhakikisha anafuta upinzani.
sasa kwa stori ya hayati mkapa kunyimwa kibali bado nipo njia panda, kama raisi anaweza...
Mimi nilivyoelewa si kwamba familia ya mkapa haikuwa na uwezo wa kwenda South afrika kwa ajili ya matibabu, ila tatizo ni hayati magufuli alikataa kutoa ruhusa ya hilo kutokea.
Swali la kujiuliza ni kwanini magufuli akatae kutoa ruhusa kwa hayati mkapa kwenda kutibiwa South Africa? Mkapa...
Hapana mkuu si ya umeme. Kanatumia mafuta. Pia pikipiki hizi bei yake ni 2.5 mpaka 3 ina range humo.
Na ni kwa sababu ya fuel consumption yake. Kama sikosei full tank ni elf13 na kama ni mtu wa route chache basi unaweza kutoboa mwezi.
Ni pikipiki nzuri kwa uchumi wa watu wa Chini
Braza ni kweli unayoyazungumza. Maisha ya gereji ni magumu sana kama una moyo mwepesi huwezi kutoboa. Mimi nina rafiki yangu kila wakishusha gearbox lazima abaki na alama za kujikata.
Hongera sana braza. Msichoke nitakua nikiwauliza vitu tofauti tofauti.
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako. Japo sijajua sana kuhusu veta ufundishaji wao. Lakini ninachompendea mwalimu ni mtu anakuacha unafanya.
Lakini pia nafikiria nitakapoendelea kujua zaidi mbeleni niende vets ili nipate vyeti kabisa officially.
Habari wanajamii forums wote.
Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu.
Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.