Mm naichukia sna ccm but tatizo tulichokosea ukawa kumpa majukumu mgombea aliyetemwa na ccm kuiwakilisha ukawa(chadema)hapo ndo tulipokosea ni bora tungemuacha doctor slaa ktk kupambana na ufisadi na imani ccm wangechemka lkn kwa ss tujipange upya 2020
Leo nimemaliza kazi baada ya kusikiliza sera za wagombea nimepata hitimisho na uelekeo wa taifa langu la tz mungu ibariki tz amani ndo msingi wa maendeleo yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.