Ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Ifike wakati watanzania tujifunze kupenda chetu kwanza, Muziki wa nyumbani ukikubalika wanamuziki wa nyumbani watanufaika sana. Hii itapelekea kuja kutengeneza majina makubwa ikilinganishwa na nchi za Afrika magharibi kama Senegal -Youssou ndour, Mali - Selif...

You guyz need to be serious sometimes. Haven't you seen the cruciality of this topic mpaka mnaingiza hii upuuzi ya wahutu... INAWEZEKAKA wwe jamaa ni mmoja kati ya wale wasiojulikana, imekuwaje unamuita huyo mvaa kanzu muhutu ingali wengi tunajua huyo bwana ni wa hapa hapa bongo?. Ama ni siri...
Siku zote,mbabe hupigwa kwa njia zisizohusisha ubabe.Hivyo ndivyo ilivyo kanuni ya maisha (Law of compensation). Tujifunze kwa Daudi na Goliath.Magufuli ni mbabe.Hatuwezi kumkabili kwa ubabe.Hivyo ndivyo anavyosema na kushauri Dokta.Tutumie sheria kumkabili,hicho ndicho anachokishauri...
Am very disappointed by reading this comment of yours, i use to think that most of you Kenyans are intelligent unfortunately you proved me wrong. you could have got mahindiz from Tanzania for a very cheap price, underestimation yenu kwa sleeping Giants (Bongo-amkas) imepelekea kutuingizia fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.