SHAME: Mawaziri wawili Kenya waugua kipindupindu!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,803
13,034
Kuna habari kutoka Nairobi, Kenya kuwa mawaziri wawili wamelazwa kwa kuonekana na dalili za kipindupindu.
Kuharisha na kutapika.

Kipindupindu husababishwa na kula vyakula vyenye vidudu vinavyopatikana katika kinyesi!
Poleni Kenya lakini, its a shame! Very unhygenic Nairobi!

"Since May, there have been numerous cholera cases, with the most recent involving Treasury Cabinet Secretary Henry Rotich.

A trade event

Mr Rotich, his Trade counterpart Adan Mohammed and Trade Principal Secretary Chris Kiptoo and several staff from the Trade and the Treasury ministries were treated for cholera-related symptoms on Friday.

That was after they ate food served during a trade event at the Kenyatta International Convention Centre."

Source: Nairobi in crackdown to contain cholera outbreak
 
Wanakuja na povu sasa hivi.

Kiukweli kenya sio nchi salama kabisa. Mpaka mawaziri

Nadhani walitaka kuwaonyesha raia kuwa nao huwa wanakula kwenye vibanda umiza. Sasa shughuli ndo hiyo sasa
 
Kipindi cha kampeni si unajua unafiki wa viongozi wa kiafrika kutaka kuishi maisha ya wananchi wao kwa ajili ya kupata kura ndio hivyo tena pole yao
 
Hahaha.....mawaziri wamekula nyaa au niwazee wa kupiga dekio?

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Kuna habari kutoka Nairobi, Kenya kuwa mawaziri wawili wamelazwa kwa kuonekana na dalili za kipindupindu.
Kuharisha na kutapika!

Kipindupindu husababishwa na kula vyakula vyenye vidudu vinavyopatikana katika kinyesi!
Poleni Kenya lakini , its a shame!
Very unhygenic Nairobi!

"Since May, there have been numerous cholera cases, with the most recent involving Treasury Cabinet Secretary Henry Rotich.

A trade event

Mr Rotich, his Trade counterpart Adan Mohammed and Trade Principal Secretary Chris Kiptoo and several staff from the Trade and the Treasury ministries were treated for cholera-related symptoms on Friday.

That was after they ate food served during a trade event at the Kenyatta International Convention Centre."

Source: Nairobi in crackdown to contain cholera outbreak
Kikianzia madongo kuinama hawaoni haja ya kuchukua hatua haraka hadi kiue kadhaa. Huku kwetu kuna mmoja alienda a step further kwa sauti ya ulevi wa madaraka akatamka atakayepata kipindupindu ashtakiwe.
 
Vipi wale wachezaji wa everton hawakuugua kipindu pindu kweli? Walipokuja kwenu nyie waTZ
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom