Ukiona mwanaume hajakupeleka kwake Kwa muda hata wa miezi 3 jua huna SIFA ya kuwa mke! Maana kama mnaweza kufanya mapenzi walau mara 3 Kwa wiki huko lodge jiulize mtakuwa mnatumia shs ngapi Kwa mwezi iwapo tuchukulie minimum lodge ni shs 20,000/ Bado Kuna kula na expenses nyingine wakati geto...
Nilishawahi kuwa na mahusiano na single mother takrinani 3 aisee wote nilipiga CHINI yaliyoongelewa na mtoa Uzi ni kweli Kwa asilimia karibia zote 100! Single mother hata kama mumewe ni marehemu Bado Huwa wanamkumbuka
Kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), muundo wa uongozi wa Kamati Kuu, Halmashauri Kuu, Mkutano Mkuu, na Sekretarieti umewekwa rasmi kupitia Katiba ya CCM. Huu hapa ni ufafanuzi wa muundo huo kwa mfano wa CCM:
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
Maana:
Kamati Kuu ni chombo cha juu cha...
Haya ni maelezo ya kiufupi kuhusu Kamati Kuu, Halmashauri Kuu, Mkutano Mkuu, na Sekretarieti ya vyama (hususan vyama vya siasa nchini Tanzania):
Kamati Kuu
Maana:
Kamati Kuu ni chombo cha juu cha maamuzi ndani ya chama cha siasa, kinachoshughulika na utekelezaji wa maamuzi ya Halmashauri Kuu...
Ukiona mwanamke anakuharakisha umuoe achana naye kabisa , anaepanga muda wa kuoa ni mwanaume na sio mwanamke! Mwanaume anapotaka kuoa anazingatia mambo mengi sana na anakuwa ameamua Kwa moyo wote sio shinikizo la mtu, ndoa ni MAJUKUMU na sio Lele mama mwanaume anapokwambia umsubiri Kwa Nini...
Asante kwa kushiriki hadithi yako kwa uwazi na uaminifu. Maisha yako yamekuwa na changamoto nyingi, na ni kawaida kuhisi kuchanganyikiwa au hata kuamini kuwa unakumbwa na laana au karma kutokana na matukio ya nyuma. Hata hivyo, nataka nikupe mtazamo wa uhalisia na kukusaidia kuelewa kuwa bado...
Kipindi naishi Tandika na nilikuwa nafanya KAZI maeneo ya ubungo miaka ya 2003 mpaka 2005 hivi ile asubuhi magari yalikuwa yanajaza sana Yaani unakuta mwanamke anakubinulia tako kabisa na vile nilikuwa Bado kijana Yaani nilikuwa sivungi nalibambia haswa gari likidundadunda kwenye Barbara yenye...
Sema wewe hujui dar unatafuta tu umaarufu, hakuna sehemu iliyoendelea Kwa Kila kitu hapa Tanzania kama Dar , Dar ndio Tanzania , hakuna sehemu yenye maisha mepesi KUISHI kama dar ,ukishindwa KUISHI dar huwezi KUISHI popote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.