FISADI NI MTU ANAYETUMIA NAFASI YAKE KAZINI KWENYE TAASISI ZA UMMA KAMA VILE SERIKALI, BUNGE, MAHAKAMA, MAKAMPUNI YA UMMA NA CCM KUIBA MALI YA UMMA. KWA HIYO HIWEZI KUWA FISADI NJE YA VYOMBO HIVYO ILA UTAITWA MWIZI. NAPE KUMWITA LOWASSA FISADI HAMTENDEI HAKI. CCM IN CHAMA CHA KIFISADI KWANI...
Mtoa mada hajaeleza ni huduma gani mahakama ya kadhi inatarajia kutoa ili serikali ipate kuwalipa ukilinganisha na huduma za afya na elimu zitolewazo taasisi za kikiristo mahakama ya kadhi lengo lake ni kutekeleza baadhi ya sheria za kiislamu na sio kuhudumia watanzania kwa ujumla. Fungueni...
waislamu tukazane kufikiri, tunajiaibisha kuangukia wakiristo watusaidie kuanzisha mahakama ya kadhi uwezo mnao tatizo kubwa ni kukosekana taisisi ya juu kuratibu masuala ya uislamu nchini. Bakwata kimebaki kuwa chombo cha ccm na ccm ikifa bakwata nayo itakuwa chali kwani 100% inategemea ccm...
bot a third party in the escrow arrangement and one of the remaining parties-tanesco are public institutions therefore if there is any misconduct in handling that arrangement and a loss is sustained who is going to suffer if not the tax payers. Secondly, why it appears things are handled in a...
Hivi serikali ina maana gani mbona nasikia kuna serikali ya mtaa, serikali kuu, serikali ya jimbo na kadhalika. Unaposema serikali tatu ama mbili una maana gani? Nasikia kuna serikali ya tanganyika-refer to any title certificate, serikali ya zanzibar, na serikali ya muungano. Naomba jibu lisilo...
the issue is if there are two parties why only one party use public funds and the other one use own resources. I don't think that statement came from ikulu if it is true the country is finished and only geneva is solution.
pole mpanju, huna budi kufahamu haki ni kwa wote kwa matonya na kwa makonda. Kwa matonya ukifumba macho na makonda ukiona kuna siku itakurudi. Indicators zote za machafuko zinaonekana lkn watu wanafumbia macho na wao yatawakuta. Tanzania imekosa k/viongozi tupo sisi wachumia matumbo hali...
tupe takwimu to substantiate your claim eg. Dodoma the stronghold of ccm is more advanced than arusha-the stronghold of chadema and vice versa. What you show is only known to yrself
chadema, cuf, na nccr-mageuzi (a.k.a ukawa), dr. Banana haiwezekani? Nadhani hiyo shule ulikariri tu. Mbona chama cha mapinduzi (a.k.a ccm) unakubali? Ccm ni registered?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.