Recent content by wa_kale

  1. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

    Hivi wanywa viroba ni wananchi wa Zambia Kama ni watanzania wamefikia hapo chini ya serikali ya chama gani? Hayo matunda ya uongozi wa sifiem
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Basi Magogoni kuna mambwiga mpaka ma Dr. Au wakijitoa wanabadilika kuwa mambwiga
  3. W

    JamiiForums Tanzania Watu wa kuitikisa kuondoka CCM sio akina Mwapachu

    Hee maana ya ukongwe ni nin labda siaelewa
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Binadam wanasahau hakuna mwenye dhamana ya uhai hasa wakiwa ndani ya madaraka wanalewa.Hakuna ajuaye kesho yake wala mwisho wake.kifo ni kifo na ugonjwa sio kifo.
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

    Wahuni na wanywa viroba wametokana na serikali gani?viroba vinauzwa Zambia wengine ndugu zenu hata kama wamekosea matusi hayajengi.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa anamgezea Kikwete kwenda Sokoni :HADANGANYWI MTU:

    Du Tanzania bado sana alienda sokoni bure Kikwete angetimiza matakwa ya wananch Lowasa angefuata nini sokoni kugerezea tu ndio umeona ni jambo la msingi mhh
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawaolewi?

    Labda mmngewauliza wanaoachana kila siku na wanaokimbia ndoa kila kukicha kunani kwenye hizo ndoa.nani wakumshangaa aliyekimbia au ambaye hajaingia kabisa.
Back
Top Bottom