Recent content by Wa nyamadyaki

  1. Wa nyamadyaki

    Ukweli kuhusu Ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka

    Services zaidi ya miezi mitatu imepark duh!![emoji32] Kwa hio mkuu itakamilika baada ya muda gani?
  2. Wa nyamadyaki

    Leo naomba niongee na vijana wote ambao ndio wanaingia au wako kwenye mahusiano

    Unatetea mapenzi ya mwanaune kuzidiwa umri na mwanamke!! Hatudanganyiki na mawivu yako acha tutoke na vichenchede vyenye kujua club zote na tujinyime kwani ww inakuuma nn?
  3. Wa nyamadyaki

    Kuhusu mauaji Kibiti, polisi mulikeni Kilungule Mbagala mwisho

    Tutafute namna sahihi za kutatua haya mauwaji ya kibiti ila kuhusisha imani za watu moja moja tena hadharani namna hii. Sidhani kama ni busara shutuma za namna hii yafaa kuzifikisha kwa usiri kwenye vyombo vyetu vya dola na si hivi ulivyofanya maana kila mtu anauelewa wake hasa kwenye imani za...
  4. Wa nyamadyaki

    Kaganda awapiga mkwara polisi, asema atawamaliza wote wanaotishia watu bunduki wakiomba rushwa

    Hapa naona tatizo sio askari kuchukua rushwa tatizo ni namna ya uchukuaji yao!! Yaani wasitumie binduki za serikali kwenye ushawishi wa kupewa rushwa.
  5. Wa nyamadyaki

    Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

    Usisahau kumuuliza na freelander
  6. Wa nyamadyaki

    Nimemfumania mume wangu live

    Asimsamehe, aachane nae kila mtu aendelee na maisha yake.
  7. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Yeah nitafanyia kazi ushauri wako mkuu asante sana!!
  8. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Air clearner iko safi mkuu, alafu ATF sijabadilisha mkuu
  9. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sawa mkuu nitafuatilia pia na hilo.
  10. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sawa! Nashukuru kwa msaada wako mkuu.
  11. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hii silence mode inafanyaje like inakuwa inaongezeka haishuki au inashuka sana au gari ikikaa silence kwa kipindi fulani inaweza jizima yenyewe. Kwa experince ya hii ninayotumia mimi ukiwasha inapokuwa gia bado ipo kwenye P inakuwa sawa ila ukiweka gia mfano D au R ndio inatetemeka body na kama...
  12. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru kwa msaada wako mshana nitafanyia kazi hilo na vipi kuhusu plag! Maana yupo jamaa yangu mmoja aliwai nieleza inawezekana pia ikawa inachangiwa na plug. Kwa engine hizi za 4E au kwa udhaefu wenu inaweza kuwa nayo ni chanzo
  13. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wajuzi wa haya mambo mshana na wengineo Naombeni msaada kwenye hili!! Msinipotezee tafadhari
Back
Top Bottom