Kani bakwata nikinani mpaka watoe tamko bakwata sio taasisi ya kislam na hata wakitoa ata saidia kitu waislam wenyewe awaikubali bakwata subilia utamuona shekh wa dsm alhadi salum ataongea kesho kwenye skukuu
Hali zenu wadau wangu naitaji kwenda Thailand kununua nguo za watoto yupo anae enda au anajua maduka ya nguo za watoto ya lipo anielekeze au kama anakwenda tuongozane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.