Recent content by Wa-kishua

  1. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

    Mmmh...!!! Nyieee kwa Boom gan atoe mchanganuo kwanza na hiy apartment ya alitumia shs ngap kujenga Maybe kama alikua ana 100% kwao walikua wakishua hapo fresh Ila Kama boom Hilo Hilo ulipie ada, Kodi, uvae, ule, bad familia inaangalia hapo hapo huwez fanya chochote naomba nikazie huwezi...
  2. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

    Duh...!!! Wanaume mbon wanazid kupungua kwa kas ya 4G 😣
  3. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo yenu tafadhari

    Mimi niko na shida niko na rafiki yangu yaani anaweza kukwambia kitu halafu ni cha kweli ukimuuliza anakwambia ni ndoto zangu huwa naota ni za kweli. Kwa mfano nilikua naumwa sikumwambia akanitafuta akaniambia nimeota unaumwa, nikamdanganya sio kweli ila ni kweli nilikua naumwa. Hatari kuna...
  4. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

    Mi gari ikiwa na system chaji nahisi ka nip mambele huko kumbe naend njombe tu
  5. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Niko mbali nako aisee
  6. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Naomba msaada wa hizo mbegu kama zinafananaje au kam una picha yake nizione
  7. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Kwa yoyote anayejua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo naomba anijuze tafadhari.
  8. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Aina ya mpira wanao cheza yanga hauvutii hata kidogo

    Huyu nae sijui wa wapi huyu...!!! hawa ndo walokuja mjini na mbio za Mwenge
  9. Wa-kishua

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

    Jarib na Mbez mwish na maeneo ya Maramb Mawili , King'azi ( Ila hapa uhakika labd uwe hujaridhika nako tu)
Back
Top Bottom