Recent content by wa kihesa

  1. W

    Maisha ya muajiriwa wa kawaida kabisa hapa Tanzania kwa mwezi yanasikitisha sana

    Mkuu hapa duniani nimesema duniani hakuna taasisi inayolipa mishahara ili mtu amudu kujenga nyumba. Kujenga ni kujiongeza kwa mtu husika katika mazingira yanayomzunguka. Huyo mtu wa kulipwa 940 kwa mwezi hafiti kwenye hoja yako,,,,ikiwa ameweza ku-save 100. Tuishi sasa,tuishi leo...kujenga ni...
  2. W

    PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

    Na target ni watu fulani waliokosa kujitambua au shule yakinifu
  3. W

    Jamani kwani Sheikh Yahaya alisema yule Rais mwanamke atahudumu kwa muda gani!?

    Kwenye mambo mengi ya KIROHO huwa hakuna muda. Yaani kwenye ulimwengu wa roho hakuna time, siku wala miaka. Kuna mtiririko wa matukio (movement za nguvu kuu) Mtabiri aliiva..kwa sababu aliona matukio. Watu wengi walioiva KIROHO huoneshwa/huona matukio kama vile mtu atazamapo movie. Kazi inakuja...
  4. W

    Jamani kwani Sheikh Yahaya alisema yule Rais mwanamke atahudumu kwa muda gani!?

    Fuatilia watabiri wengi,waganga na wengineo walioiva
  5. W

    Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

    Tuko pamoja sana mkuu. Jana usiku nimetoka kumalizana na simulizi yako moja ya kuitwa.... MREMBO MWENYE GOBOLE LA URITHI.
  6. W

    LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Sasa huyu Mungu ni wa nini kwangu ikiwa natakiwa kumuogopa na anatisha? Unaniumbaje kwa upendo na bado nikuogope na unitishe?
  7. W

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kunyonya sehemu za siri. Ni Punguani pekee ndiye anaweza kufanya hivyo

    Ndio tukutane tushee style mpya za upunguani wetu. Halafu tukiiva tunaenda kamata wake wa werevu wale,,,,you will thank me later
  8. W

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kunyonya sehemu za siri. Ni Punguani pekee ndiye anaweza kufanya hivyo

    Kuna mdada kila akinimiss anasema shida yake anyonywe...huko aliko hapati hiyo huduma na anaipenda sana sana sana. Kilicho bora ni kwamba sio mtu wa kunigandaganda. Na huyu huwa nampiga mpaka ulimi wa jicho...kashanogewa haoni hasikii.
  9. W

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kunyonya sehemu za siri. Ni Punguani pekee ndiye anaweza kufanya hivyo

    Mimi nipo zangu Tanga naendekeza huu Ujinga. Jamani yeyote aliyekaribu akuje nimpige ulimi wa 0784 kwenye sodium na 0712 kwenye material zenye linda. Kwenye maisha tusipende kuhukumiana na kupangiana vya kufanya. Mapenzi ni uchafu,,,na huo ndio uchafu wenyewe. Yaani mnaoga kwanza then mnaenda...
  10. W

    KERO Udanganyifu Mahospitalini

    Sawa. Maoni yako naamini yataeleweka na watu wa utabibu tu. RRH,ZRH na GP.....
  11. W

    Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

    Boss na huo uungu tukiamua tunaweza ufikia. Hakuna level kiumbe awaye mwanadamu hawezi ifikia. Ni suala la maamuzi na kujifunza.
  12. W

    Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

    Boss kiutambuzi Akili ina kiutambuzi Akili ina mipaka. Labda kama akili inayozungumzwa hapa iwe na maana ya roho pia. Lakini ukiweka ule uhusiano mtatu (mwili,nafsi na Roho) basi hapo Akili itakuwa na limit (mpaka). Mambo mengi huanzia ubongoni (akilini),,,ila kuna mengine nguvu ya kuyafanya...
  13. W

    Nani muasisi wa kula mara tatu kwa siku?

    Saa 11 ipi,ya jioni au alfajiri?
Back
Top Bottom