HUYU KIJANA NI CLINICAL OFFICER MUAJIRIWA, ALISOMA CBG AKAPATA DIV 2 YA 12 mwaka 2016
ANAOMBA USHAURI AKASOME KOZI IPI KATI YA HIZI
1;Bach of land management and valuation
2; bach of project planning and management
3; bach of health sysytems in monitoring and evaluation
4; Bsc in data science...
Habari wana JF,
Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2.
Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy itawezekana kwa hivyo vigezo tajwa hapo juu?
Kiukweli inafikirisha sana, nimejaribu kufanya reseach ndogo watu wanadai kuwa wizi wa kishirikina huwa upo maeneo hayo lakin pia kuna baadhi ya mabadiliko nimeyaona kwa mwenzangu huenda alikuwa anatafuta hela ya mtaji kupitia mimi kwa sababu kabla ya hapo hakuwa na chochote.
Ni kweli bro, m pia nimejua kuwa kanipiga na sio kwamba nimefany kilimo online bali ni muingiliano tu wa majukumu ika nimejifunza kitu maan ndo ilkuw mara ya kwanz kujaribu kilimo
Habari wana JF,
Nimeleta uzi huu kwenu ili nipate msaada wa mawazo.
Kuna rafiki yangu wa muda mrefu zaidi ya miaka 15 ambaye alinishirikisha kuhusu kilimo cha mpunga huko Tabora. Nilipokea wazo hilo na tukakubaliana kushirikiana. Tulikodi ekari 8 na kufanikiwa kupanda mpunga. Japo muda mwingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.