Recent content by wa katikati

  1. W

    JamiiForums Tanzania PCCB: Kesi ya UKWEPAJI KODI ya Lake Oil imekamilika, tumewapa miezi 2 kulipa bilioni 8.5 kwa umma

    bado na Kaka yake Edha Awadh au Overland carriers. Magari mengiiiiiiiiiii kumbe hawalipi kodi. Hapa kazi tu!. Wanafunga watu tu sasa zamu yao kufungwa.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada vitabu vya ngugi vya 'shetani msalabani' na 'matigari'.

    Jamaa msaada wa vitabu hivyo mwenye navyo, copy yeyote ila Hardcopy itakua bora zaidi. Shetani Msalabani na Matigari. Mwenye nacho naomba aeke namba yake iwe rahisi kumfikia au atumie yangu 0712 28 75 92, nashukuru.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatengwa rasmi na nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC )

    jikumbusheni na uzi wa MTIKILA na makala ya Joseph Mihangwa(RaiaMwema) kuhusu ajenda za Museveni na Kagame wakiwa zao Gisenyi.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Juzi CHADEMA walipolalamika kuhusu baloz wa China yeye akapga porojo zake paleee af Wizara ya Mambo ya Nje wakasema balozi wa China amekiuka mkataba, kwahyo mwambieni aendeleee kuwakusanya wale wa KIJANI na NJANO kwenye mikutano yao.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    KAMA UMESHNDWA KUJIAMINI HAPA, UTAJIAMIN WAP?, na UDAKU wako!.
  6. W

    JamiiForums Tanzania hiki kiswahili cha RICK ROSS sikielewi

    yan mi cjaelewa, iyo STACK ndo SITAKI au?.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Angalia tabia jinsi ulivyo kutokana na mwezi ulio zaliwa...kama kweli tia like

    yan mzee FEBRUARY ileile, ila kdoogo ndo simo!.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Museveni kusuluhisha mgogoro kati ya Tanzania na Rwanda

    mi nakumbuka walisema eti Rwanda na Uganda haziitaki Tanzania Kongo!.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani

    afu inaezekana jamaa alijiasahau......
  10. W

    JamiiForums Tanzania FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    hawa c wanafanya mazoezi hawa jamani?!, kuna pcha moja inaonesha yale MASHANGINGI kwa nyuma yamepaki, au na mashangingi nayo ya KIVITA, au hz pcha hazkulenga kwenda sawa na HABARI?, kwamba wanaume KAZINI?.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya

    maduka hayo yako wap na wap mzee, inawezekana tukafa na kadi ndani kwa kukosa taarifa, orodhesha kama unayajua mzee.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Umemsikia Robert Mugabe!?

    wake anaupga na ULANZI, basi burudaaan wajamaa wanaipata LISHE YA MGONGO(feedbck) yake!.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi atekwa huko moshi na kufanyishwa ngono kwa siku nne...!!

    mixer kamwambia utashnda moja kat ya zile nyumba 3!, af kwa kuchek iyo pcha kwa mbaaali anaonekana ashatanuka, co mtoto uyo.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Eti jeneza la huyu linafunguliwa kwa rimoti

    na wabongo tupendavyo kushuhudia/kuhakk hamna ata kideo, mh!
  15. W

    JamiiForums Tanzania Umemsikia Robert Mugabe!?

    sema inaezekana BABU Mugabe anakula mambo mjue!.
Back
Top Bottom