Recent content by Wa ishinde

  1. W

    Kwanini wachagga hupenda kwenda kwao mwishoni mwa mwaka?

    Nakubaliana na weweee asilimia zote...wazee wa Mkoa huu wanafuraha sana kuliko wote,,na ni jamii ambayo kila nyumba yenye familia INA MTU aliye nje ya Mkoa...Kilimanjaro inaongoza kuwa ni mile twaweza it's INTERNAL DIASPORA,,na Mkoa huu hujengwa na remittances kutoka sehemu zingine kwa hiyo...
  2. W

    Yuko Wapi Mama Mary Nagu?

    Mheshimiwa yupo anapiga kazi balaa,,amewaunganisha wananchi wanatekeleza ilani ya CCM hana shaka yoyotee...ni mmojawapo wa akina mama wenye uwezo mkubwa sanaa na wasio na kashfa yoyote...
  3. W

    Mchango watangazaji RTD ni wa kutukuka

    Michael Katembo alikuwa kiboko na utani wake kwa makabila,,siku moja alicheza ngoma ya Kichaga kabla haijaisha vizuri akawafukuza eti hawajui kucheza wawahi wakafungue maduka huko wawaachie ngoma Wamakonde na wenyewe kabla ngoja haijaisha akawatanai eti amechovya tonge moja la ugali mwenye...
  4. W

    Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

    Huyu anawahusisha Wapare...ni Mchaga mtani wenu msichukie,,natemwe ni vakwavi......after all Mungu ashukuriwe ametuondolea mauti kwa wema wake tuu
  5. W

    TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake (Monica Magufuli) Hospitali ya Bugando

    OOOH!! POLENI WANA FAMILIA,,SHETANI NI MUUAJI TANGU MWAZO,,,AMEMUONDOA MAMA YETU MAPEMA LAKINI HAWEZI MSHINDA MUNGU MILELE YOTE...MUNGU AWAPE SUBIRA WANAFAMILIA WOTE NA PIA AKUPE NGUVU Mhe.RAIS UPATE NGUVU URUDI KUTUTUMIKIA,.AAMEN.
  6. W

    BOT tengenezeni noti mpya zenye picha ya Rais Magufuli

    Nakumbuka Paul Ndobo mbunge wa upinzani alileta mswada bungeni fedha zetu kubeba picha za waasisi na CCM wakaunga mkono (I stand to be corrected
Back
Top Bottom