Kweli mkuu,Kuna kitu nimejifunza Jana,migogoro kama hii haitakiwi kutatuliwa ghetto maana Kwa jinsi alivokua anajiliza tungekua geto ningeishia kumpasua [emoji2][emoji2]
Heshima mbele kama tai Wana jamvi.
Kwa mnaokumbuka January 30 2023 nlileta Uzi unaozungumzia kuhusu Mimi kumwagwa na single mama.
Nimeona nilete mrejesho hapa wadau wanaweza kujifunza mawili matatu kutoka hapa.
Juzi jioni nkiwa nimetulia zangu Gheto mara simu ikaita, nikapokea na kuuliza nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.