Hataki zirasimishwe ila huyu huyu atalisifia Taifa la China na Maendeleo yake, kwenye Tiba zote mbili za Asili (Traditional Chinese Medicine - TCM) na Western Medicine, ambapo wamewekeza na kurasmisha kwenye Mataasisi yao Makubwa kama Muhimbili na zaidi ya Muhimbili, na hamna aibu, wala sura...
Huna taarifa sahihi za Steam inhalations, waulize hao Madaktari wako kwenye vitabu vya udaktari imeandikwa au haijaandikwa, waache unafiki wa kutosoma na kusubiri mapokeo ya Wazungu tuu, bila kujituma Kufanya Tafiti!
Bado wewe Bwana Said Nassor Bagaile, unapinga Tiba Asili, najiuliza ungekuwa Waziri, ungekuja na hizi arguments zako, ulitakiwa ujiongeze kuhusu Tiba Asili imekuwepo kwenye generations to generations, na kujifukiza kumesaidia wananchi wengi, tofauti na unavyopinga, maandiko ya kisayansi...
Nyungu tunayo huku Nzega Vijijini na sie wapiga nyungu ndio tuliomsaidia Said Nassor Bagaile a. K. a Hamis Andrea Kigwangala kupata ubunge, sasa anatusaliti, lazima ajambe cheche!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.