Mkurugenzi wa mawasiliano, Ikulu kutoa taarifa ya safari ya mheshimiwa rais kesho, ni kosa

Kwa maoni kama haya! Tukisema wasukuma washamba, tunakosea?.
Miaka imebadilika ndugu, sasa tupo kwenye "sciences and technology", hatupo kwenye kuficha ficha mambo kama yule aliefichwa na ardhi muda huu!.
Mawazo ya kizamani sana haya! Badilikeni ndugu zangu! Msiwe na mawazo kama mfalme Juha! Aliyepo mbele ya haki muda huu!
Hiiiiii Bagoshaa! Shame on You!.
wahurumie mkuu
 
Mwamba Mbowe ni hatari. Yani kamanda kutangaza tu kesho atahutubia taifa mama yetu mpendwa kala kona. Mama usihofu kwa taarifa yako mtu pekee wa kumuamini nchini ambaye atakushauri vizuri ni braza Akaeli. Mtumie ni hazina pekee iliyojitosheleza na ya uhakika.
Samia kesho anahudhuria kuapishwa kwa M7.
 
Nina amani na Madam president vibaya mno nikikutana nae sitajizuia kumkimbilia na kumlaki, sio lile lijamaa lililokuwa linajiona limungu mtu nilikuwa nikilisikia redion tu au kwenye tv nazima au naweka katuni.

Jiwe alikuwa mgonjwa ndio maana alikuwa na ulinzi wa kutisha watu!!
 
Habarini wana JF,

Nijielekeze kwenye maada, moja kwa moja. Kuna taarifa imetoka kuhusu safari ya mheshimiwa rais, hapo kesho ambapo atakwenda Uganda...
Labda Museveni atamtamani? Are you paranoid?

Ziara ya kustukiza kama vile Obama anakwenda Afghanistan?
 

President, Samia Suluhu Hassan for a meeting to sign the oil pipeline deal, the Nile Post has learnt.​

Tanzanian President, Suluhu expected in Uganda on Sunday for oil pipeline deal



President Yoweri Museveni will on Sunday host Tanzania’s new President, Samia Suluhu Hassan for a meeting to sign the oil pipeline deal, the Nile Post has learnt.

According to sources, the meeting at Entebbe State House will see the Final Investment Decision signed and will mark the start of the construction of the crude oil pipeline.

The event for signing the oil pipeline deal was scheduled for March 22, 2021 but was rescheduled following the death of then-President, John Pombe Magufuli, five days earlier on March ,17.

Sunday’s visit will be Suluhu’s first trip outside Tanzania since becoming president.
The East African Crude Oil Pipeline is a 1,445-kilometer-long pipeline from the oil wells in western Uganda in Hoima district to Tanzania’s seaport of Tanga .

The pipeline will cover 296km in Uganda passing through Hoima, Kyankwanzi, Mubende, Gomba, Kyotera, Lwengo, Ssembabule, Rakai and Kikuube and 1443km in Tanzania through the regions of Kagera, Gieta, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma , Manyara and Tanga.
By signing the Final Investment Decision, construction of the 1,445-kilometer-long pipeline will then kick-off, having been delayed by the Covid pandemic.

The $3.5 billion oil pipeline project is the longest electrically heated pipeline in the world and it is heated because Uganda’s oil is waxy.

Uganda has about 1.7 billion barrels of recoverable oil discovered in the Albertine Graben on the border between Uganda and DR Congo at the Kingfisher and Tilenga fields.

The two oil fields are operated by China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) and Total S.A. The pipeline project is being implemented by a joint venture of CNOOC and Total; Uganda government through the Uganda National Oil Company and Tanzania Petroleum Development Corporation.

The project is expected to create jobs, help in technology transfer, creation of new infrastructure and enhance trade between Uganda and Tanzania and the East African region at large.

President Museveni last year said proceeds from the oil will be used to further develop the country’s other important sectors like infrastructure, education and health.

“Our oil will be used to develop our infrastructure, and ICT to enhance durable capacity of our country. I am glad that Total and other companies licenced in the country are taking bold steps to quickly commence the production of petroleum,” Museveni said during the signing of the Host Government Agreement (HGA) pipeline with Total in September last year.

Museveni reassured the exploration company of government’s support during their work. “It has taken long, but it was a deliberate move, I can assure you Ugandans,” said the President, adding that Uganda is a rich country with oil as a small fraction of this natural wealth. He pointed out that other potential lies in agriculture, tourism, services, and human resource among others
 
Mwamba Mbowe ni hatari. Yani kamanda kutangaza tu kesho atahutubia taifa mama yetu mpendwa kala kona. Mama usihofu kwa taarifa yako mtu pekee wa kumuamini nchini ambaye atakushauri vizuri ni braza Akaeli. Mtumie ni hazina pekee iliyojitosheleza na ya uhakika.
Hana lolote yeye mwenyew alibadilisha gia angani they killed themselves kuanzia hapo
 
Habarini wana JF,

Nijielekeze kwenye maada, moja kwa moja. Kuna taarifa imetoka kuhusu safari ya mheshimiwa rais, hapo kesho ambapo atakwenda Uganda.

Swala la usalama wa taarifa za ikulu, ni muhimu sana, hususani katika kipindi hichi ambapo rais wetu ni mpya, na kuna maadui wengi tu wa ndani na nje ya nchi ambao, pengine hawakutaka awe rais.

Kutoa taarifa ya safari yake kwa umma, kabla ya yeye kufika Uganda, inaweza toa fursa kwa wenye nia mbaya, kutekeleza nia ovu.

Simuombei mabaya mheshimiwa rais, ila natoa tahadhari tu. Angeweza mtuma mjumbe maalumu kama alivyotumwa Dkt Amina Mohammed leo, kwa niaba ya rais uhuru Kenyatta
Hupo sawa kabia100%
Watanzania wote wenye mapenzi mema, ambao ni karibia wote, ndio walinzi wa Rais wetu, lakini mlinzi mkuu ni Mungu.

Japo anaweza kuwakilishwa lakini kuna umuhimu wa pekee, anapoenda Rais mwenyewe kuliwakilisha Taifa lake. Zaidi atume wawakilishi huko kwenye kufungua masoko, stand, madaraja, n.k. lakini kwenye majadiliano yenye maslahi makubwa kwa nchi yake, aende akazungumze na viongozi wenzake wa kitaifa.
 
acha mambo ya kizamani, ulinzi siku hizi ni technolojia sio maguvu.....
 
Habarini wana JF,

Nijielekeze kwenye maada, moja kwa moja. Kuna taarifa imetoka kuhusu safari ya mheshimiwa rais, hapo kesho ambapo atakwenda Uganda.

Swala la usalama wa taarifa za ikulu, ni muhimu sana, hususani katika kipindi hichi ambapo rais wetu ni mpya, na kuna maadui wengi tu wa ndani na nje ya nchi ambao, pengine hawakutaka awe rais.

Kutoa taarifa ya safari yake kwa umma, kabla ya yeye kufika Uganda, inaweza toa fursa kwa wenye nia mbaya, kutekeleza nia ovu.

Simuombei mabaya mheshimiwa rais, ila natoa tahadhari tu. Angeweza mtuma mjumbe maalumu kama alivyotumwa Dkt Amina Mohammed leo, kwa niaba ya rais uhuru Kenyatta.
Hii siyo mada.
Ni "maada" kama ulivyosema mwenyewe
 
Mwamba Mbowe ni hatari. Yani kamanda kutangaza tu kesho atahutubia taifa mama yetu mpendwa kala kona. Mama usihofu kwa taarifa yako mtu pekee wa kumuamini nchini ambaye atakushauri vizuri ni braza Akaeli. Mtumie ni hazina pekee iliyojitosheleza na ya uhakika.
Mwamba au Disco Joker, hebu ficha utaahira wako! Unamuogopaje Dj kwa mfano!?
 
Huyo Mama hata bila bodyguard anadunda tu mtaani aliishi vizuri na watu na hana visasi waliomkosea keshawasamehe tu na kuwapuuza

wanyonge huwa hawaui watu,bali wenye magenge yao.

nadhani umenielewa sasa.
 
Back
Top Bottom