Recent content by vuvu

  1. V

    JamiiForums Tanzania More than serious nahitaji mume wandugu

    Mambo Jena, hivi bado haujafanikiwa? pole sana maana uliniahidi utanijulisha ukipata. Ila usijali kama hapa haujapata utapata tu. nakutakiam kila la heri.
  2. V

    JamiiForums Tanzania More than serious nahitaji mume wandugu

    Hamna mtu ambaye hapendi kuwa na mwenza wake.
  3. V

    JamiiForums Tanzania More than serious nahitaji mume wandugu

    Nakutakia kila la heri. Mungu akujalie haja ya moyo wako. Mimi nilikuja na shida yangu hapa wengi wamenisaidia sana kwa ushauri. kwa hiyo dada nakutia moyo usikate tamaa mume atapatikana humu humu ndani.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu

    asante rafiki kwa ushauri wako. Siyo kwamba nagawa au labda nafanyeje ni mtu ambaye nami nimejiheshimu sana. Of course nilikuwa na bf na kwa sasa hayupo nchini na mawasiliano hatuna. Hili imebidi niulize kutokana na kusikia story nyingi toka kwa wasichana/wanawake wenzangu wanavyoelezea hiyo...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu

    Nashukuru kwa ushauri wako rafiki nafikiri hili ndo tatizo haswaaaa. Maana kusema ukweli naona natenda dhambi. Mungu nisaidie nipate wa kwangu niweze ku enjoy.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu

    Nashukuru kwa ushauri wako. Huyo Dr. Nelson Nitampata wapi? Tafadhali nisaidie.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu

    Nashukuru Lizzy kwa mchango wako. Nitajitahidi kutokuwa na mawazo nione itakuwaje
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu

    Nina tatizo sugu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mdada na nimekulia kwenye familia ya Kikristo sana na hadi namaliza Form 6 simjui mwanaume nimekuja kumpata nikiwa chuoni. sasa nikapata Bf na nikamueleza ukweli sijawahi kukutana na mwanaume sijui yeye hakunielewa ila niliumia sana. Ikafika...
Back
Top Bottom