Recent content by Vusi Cat

  1. V

    JamiiForums Tanzania Afadhali ya Magufuli

    Retired huw unasahau ya Kikwete. watu kibao walitekwa. Unasahau aliyofanyiwa Dr Ulimboka na wenzie.??? Ni kipindi cha Jakaya ndiyo tulilijia pori la Mabwepande
  2. V

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumika kwenye tukio la penati ya Stars imeendana na tukio lenyewe

    Itoshe tu kusema Mama na chawa wake waelewe refa anapenda amani kuliko haki kama ilivyo kwa mama yetu mpendwa.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kiwango hiki wewe ni tajiri

    Kumbe na mimi sio maskini .... Maisha yaajabu saana. Kila siku unaishi kwa wasiwasi haijalishi hatua
  4. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunalifanya bila kujua impact yake

    Huyu jamaa anaoa tabia aise demu hakuna tako kabisa. Mmemwambia tako liwepo lisiwepo kusumbuliwa kupo palepale?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    Hii game inaisha 2 _ 1... star wachumba tu
  6. V

    JamiiForums Tanzania Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    Nyie hamna pressure mnaishabikia Tanzania? Dakika ya 87 sio mbali..shikeni pumbu ila stars huwa wanagawa kwenye hizo dakika
Back
Top Bottom