kila mkoa hapa tanzania una sehem kame na ziliomea kwa knjaro moshi mjin napo sio kwmb n pakame sana la hasha,,n jografia tu lkn walioko ndio wameshndwa kutunza ile kijani,,same ukienda arusha, king'ori monduli, katiti kukame,,mjini pabichi,,nenda mbeya ileje sijui wap huko songwe kukame mjin...